Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,125
- 7,526
Sasa wewe na wachezaji wako wa maana una nini?Hujiskii vibaya unamwaga pesa afu unakalishwa na hao unaowaita wachovu[emoji3][emoji3]Furahieni walau kikombe msimu huu maana mashabiki Wa arse8 mshaanza kupata mfadhaiko msimu huu nafac ya 8 ..na bosi wenu alivyobahili mtapata wachezaji Wa mafungu...au zile biashara za kibahiri unapeleka mchezaji mmoja na pesa kidunchu ndo mpate mchezaji mnayemtaka...hongereni timu kubwa London mpk sahv mnalipa mdogomdogo ile pesa ya kipepe haaahaaaa ama kweli arse8 hakika msimu ujao ubingwa wenu
Sisi tutakufunga hata umsajili Messi, wewe ni wetu tu.
Hiyo ndio maana ya Timu kubwa.