Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Narudia kusema uwe mshabiki wa CHELMATAKO au wa timu nyingine na unalalamikia ushindi wa jana wa Arsenal huo ni upumbavu kwa sababu uchavu alioufanya jana Lampard ni uhalifu wa kimataifa kwenye mpira au kwa jina lingine ni Ugaidi kwenye mpira
katika dakika kama 73 Chelsea alizocheza akiwa kamili uwanjani hawakupata goli hata la offside Arsena walitufanyia uonevu mtupu. Katika yellow card 6 Chelsea alizopewa zote zilikuwa fair ikiwemo yellow ya Azpilicueta ilikuwa ni redcard ya wazi kabisa including uamuzi wa penalti ni wa halali yaani yule Azipu kutopewa red ilikuwa ni kama kupewa sadaka ya Iddi kwakweli tumshukuru sana refa maana bila ya yeye ilitakiwa tucheze 8 uwanjani na tungepigwa kipigo cha mbwa koko na hawa wababe wa London. Foolish CHELTAKO in EPL





safi sana ,huu ndio ustaarabu
 
[emoji1787][emoji1787] kauli kama hii inaashiria kweli ilikua mbeleko wewe mwenyewe umeona
Arsenal haijawahi kubebwa. Hata VAR katika Aubameyang kushikwa haikutakiwa kutumika.

Refa akatafuta namna ya kuwanasua. Na hiyo ni dakika kadhaa tangu shuti la Pepe lililosemwa ni offside.
 
lile swali lenu limeshapata majibu?
 

Attachments

  • 2473934_LONDON_IS_RED.jpg
    2473934_LONDON_IS_RED.jpg
    51 KB · Views: 11
Hakuna mchezaji anayeitwa Fransisco Zola, nyie mnasikiliza sana stori za vijiweni na haka katimu kenu.

GIANFRANCO ZOLA.
eboh
Nimcheka hatari eti Fransisco Zola, mwambie watu tuliiona Chelsea ya Ruud Gullit na bado tukawaona ni utopolo tu
 
Nawakumbusha tu!

Mjiandae kurudiana na The Bavarians (Bayern Munchen)

Lewando na Müller kwa pamoja wameshatuma condolences zao kwa Chelshit kuelekea kwenye 2nd leg ndani ya ghetto la wahuni wa kijerumani, Allianz Arena.

Wamesema score body wanaifuta, hawaingii na aggregate scores. Wao wanaanza kuhesabu upyaaa!!![emoji28]
Score body!!! Umetisha mzee baba
 
Mkuu ile mechi ya Baku tuliwafunga kihalali sisi hatujawahi kubebwa na ndio maana hamkua na sababu ya kulalamika lakini kilichotokea jana ni utumbo though siwezi kataa mlicheza vizuri lakini yale mahaba ya refa kwenu yalichangia kufifisha juhudi za wachezaji wetu. Mchezaji wenu akiguswa kidogo mpira ushawekwa lakini mchezaji wetu anaparamiwa kabisa mpira unaendelea tu.

Sema safi tu ndio mpira. Hongereni kwa ushindi.
Hamjawahi kubebwa,mbona unakuwa msahaulifu?

Emirates hii mlishinda mbili moja.
NINTCHDBPICT000550534639.jpg
 

Attachments

  • NINTCHDBPICT000550534639.jpg
    NINTCHDBPICT000550534639.jpg
    26.1 KB · Views: 7
Chelsea wakiwa UEFA wakakutana na Ajax. Wakapigiwa mpira wakazidiwa kila angle kisha zikaanza kutembea red kwa Ajax.

Hahaha na hakuna aliyekuja kusema Ajax ilionewa. Red zilikua za ajabu ajabu. Zilikua red ngapi? 2 au 4?

How time flies. Leo Kovacic kala yellow mbili eti watu wanakwambia yeye ndiyo kakanyagwa, kwani kabla ya kumkanyaga mtu ilikuaje akaenda huku amenyanyua six meno yamelenga mguu wa Xhaka?

We all know huwezi kuzuia mtu kwa kumletea zote (sina lugha nzuri hapa ila aliyecheza mpira anaelewa kwenye rafu 'zote' ni nini) kwakua ukimpata unakula straight red ukimkosa unakula yellow. Kamkosa kala yellow na mwanzo alikua na yellow pia.

Mlitaka iweje?
 
Kipepe kamvagaa Pedro?

Pedro alivyofika pale akawa anangoja kuguswa, yaani alikua katega kabisa aguswe aanguke. Pia mtu akiwa na mpira na yuko mbele yako namna pekee ya kuuchukua mpira ni ama umshike kama Aubameyang alivyofanyiwa na au uuchukue kama alivyofanya Pepe.

Pepe kauchukua mpira kama dunia nzima mpira unavyochukuliwa halafu Pedro akajiangusha baada ya kujitegesha.

Ulitaka iwe faulo?
Unachozungumzia ni scene tofauti kabisa wala hujaelewa kitu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom