Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ingekuwa sisi Chelsea ni walalamishi tungelalamikia mechi nyingi tulizofungwa

Mechi ya kwanza na Manyumbu, tulifungwa kihalali japo Chelsea ilikuwa timu bora
Mechi na Bayern walituzidi kila kitu
Mechi zingine tuliviziwa na timu ndogo lakini walitufunga kihalali hatukulalamika

Lakini hii ya Jana dhidi ya Taylor, sio sisi Chelsea ndio tunalalamika, wadau wote wa mpira wanalalamika, nenda Youtube, nenda kwenye mitandao au media za sports mashabiki wengi sio tu wa Chelsea wanamlalamikia refer mbovu Taylor

Hii itaendekea sasa EPL wafikirie kuingiza kwenye review njano ya pili inayosababisha red kwa sababu marefa wajinga kama Taylor wakiachiwa waamue peke yao wataharibu hii burudani safi ya mpira
 
Banah eeeh! Wewe ulishalambwa inatosha. Arsenane ndiyo mabingwa wa FA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mechi ya jana hatukucheza na Arsenal

Ilikuwa ni Antony Taylor vs Chelsea FC na matokeo ni 2-1 Mabao yote ya Antony Taylor yakifungwa na Auba. ilikuwa lazima tufungwe
Screenshot_20200730-205806.jpg
 
Ingekuwa sisi Chelsea ni walalamishi tungelalamikia mechi nyingi tulizofungwa

Mechi ya kwanza na Manyumbu, tulifungwa kihalali japo Chelsea ilikuwa timu bora
Mechi na Bayern walituzidi kila kitu
Mechi zingine tuliviziwa na timu ndogo lakini walitufunga kihalali hatukulalamika

Lakini hii ya Jana dhidi ya Taylor, sio sisi Chelsea ndio tunalalamika, wadau wote wa mpira wanalalamika, nenda Youtube, nenda kwenye mitandao au media za sports mashabiki wengi sio tu wa Chelsea wanamlalamikia refer mbovu Taylor

Hii itaendekea sasa EPL wafikirie kuingiza kwenye review njano ya pili inayosababisha red kwa sababu marefa wajinga kama Taylor wakiachiwa waamue peke yao wataharibu hii burudani safi ya mpira
1596310315263.jpg
 
Fainali ya kiboya sana ile. Mlitupiga goli la mapema timu ikapoteana. Jana mlivyotupiga la mapema nikakumbuka ile fainali nikawaza au na leo tena?

Lakini spirit ikawa kubwa tofauti na ile fainali ya EL so nikajua tuna fighting chance.
Mpaka muda tunawapiga lile goli jana naona bado hamkuwa mchezoni. Kuna zile on target mbili ya Mount na ya Pulisic kipa akaokoa. Baada ya hapo tulianza sijui kucheza vitu gani maana mlibadilika sana
 
Ingekuwa sisi Chelsea ni walalamishi tungelalamikia mechi nyingi tulizofungwa

Mechi ya kwanza na Manyumbu, tulifungwa kihalali japo Chelsea ilikuwa timu bora
Mechi na Bayern walituzidi kila kitu
Mechi zingine tuliviziwa na timu ndogo lakini walitufunga kihalali hatukulalamika

Lakini hii ya Jana dhidi ya Taylor, sio sisi Chelsea ndio tunalalamika, wadau wote wa mpira wanalalamika, nenda Youtube, nenda kwenye mitandao au media za sports mashabiki wengi sio tu wa Chelsea wanamlalamikia refer mbovu Taylor

Hii itaendekea sasa EPL wafikirie kuingiza kwenye review njano ya pili inayosababisha red kwa sababu marefa wajinga kama Taylor wakiachiwa waamue peke yao wataharibu hii burudani safi ya mpira
Wapigie simu FA officials mchezo urudiwe.
 
Lazima ujitete kwa maneno mengi, maana wadau(fans wenzio) uliwaaminisha mnashinda.
Wakaamini.

Sasa wajumbe(arsenal) wamefanya ndivyo sivyo.

Huna hili wala lile.
 
Tulistahili kufungwa tena goal 5+.

Nashindwa kuelewa kabisa ilikuwaje tulicheza vizuri dakika takribani 21 za mwanzo tukapata na goli halafu tukarelax tukaanza kuboronga?

Ugonjwa huu ni umekuwa sugu kwa msimu mzima tunapopata goli tunarelax tunampa nafasi mpinzani wetu kuvuta pumzi, kujipanga na kuanza kutushambulia.

Hizi ni mbinu za wapi Jamani? Au kwenye mechi kuna mbio za vijiti? Unaanza kucheza mpira kwa kasi na nguvu unapata goli unampa kijiti opponent na yeye acheze vizuri apate goli.

Solution ya haya tunahitaji kuwa na kikosi kipana chenye wachezaji wazuri wenye viwango vikubwa na wabunifu kila idara na sio kikosi kipana kilichojaa matakata.

Ina maana timu nzima mchezaji mbunifu ni mmoja tuu Pulisic? Jana amepata injury timu nzima inacheza mpira haueleweki.

Tunahitaji wachezaji wengi aina ya Pulisic kila idara kuanzia mabeki wabunifu, viungo wabunifu mpaka washambuliaji wabunifu, tunahitaji mpira wa kiubunifu na akili tuache kucheza kama mazombie.

Usajili uendelee kufanyika wa kimkakati msimu ujao tunahitaji kuona chelsea mpya yenye ubunifu kila idara, yenye nguvu, kasi na kiu ya makombe.

Hongereni Arsenal, poleni kwa kushindwa kutufunga magoli mengi, ijapokuwa refa alikuwa upande wenu mlistahili kutumia advantage hiyo kutufunga magoli mengi 5+
Kuna watu stil bado wataponda usajili wa hervetz

Kai anaitajika sana
 
Mkuu heshima yako ni kubwa sana hapa usitake kujivunuia kwa vitu vya kijinga. Ile game ya Ajax kila mtu aliiona sijui unachoandika hapa unakitoa wapi?

SMH!! unaanza kureflect akili za Arse8 fans.
Mkuu vitu vingine unaacha kuwajibu, watu wanaojitoa akili dawa yao ni kutowajibu

Silence is the best answer
 
Chelsea wametia nia
50m euros plus 10m euros in add-ons has been submitted to Bayern Leverkusen in pursuit to Kai Havertz signing to Chelsea. Leverkusen want 90m euros
 
Sasa kama mlionewa mnasajili kwa ajili gani? Kikosi chenu si hakifungiki
 
Usijibu hivyo kama humjui Havertz
Ngoja niwaambie kitu wanachelisii kuhusu usajili wenu japokuwa mimi sio shabiki wenu.

Chelsea tatizo lenu kubwa lipo kwenye beki na mshambuliaji.

Sasa nawashangaa mnavyohangaika kusajili viungo washambuliaji wakati miviungo mnayo ya kutosha!

Huyu Havert sio namba 9 kama hamjui, ni natural 10!

Ona mmesajili Timo Werner (LWF), Ziyech (AMF/RWF) bado mnataka kumsajili Kai Havert (SS) wakati mlitakiwa msajili mtambo wa kupachika mabao, nazungumzia Natural Striker (9, CF) ili tatizo lenu lipate utatuzi.

Na sitoshangaa msimu ujao tukaendelea kuwaona akina Zouma, Rüdiger na Azpilicueta kule nyuma maana huwa mnajenga katikati halafu nyuma mnaziba nyufa tu, mwisho wa siku ukuta unaachia tena.
 
Na kuna mmoja alisema Azipulikueta anaenda kumficha Auba jana mi nikaishia kucheka tu. Ila kilichotokea ni...
JamiiForums739720064.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom