juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Mechi ya jana ishapita tugange yajayo tuendelee kusuka kikosi kwa ajili ya msim ujao
Wale wanaopinga usajili wa kai endeleeni kupinga ukweli ninkwmba tunamuhitaji kai
Hatuna kiungo ambae ni creative na wale ambao mnahisi lamp kwa nini asajili beki ndio kwanza ndio wikinya 1 imeisha tangu dirisha la usajili lifunguliwe na linaenda mpaka mwezi waa kumi mwanzoni
Stil tutasajili beki ikiwezekana na kipa