DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Mlivyokuwa mnakuja kujaza utopolo kule kwa jukwaa la making of London unafikiri sisi tulikuwa tunaona raha eeeehhhh.... Hebu tulia na hiyo kwanza......Ebu hacha fujo
Mlivyokuwa mnakuja kujaza utopolo kule kwa jukwaa la making of London unafikiri sisi tulikuwa tunaona raha eeeehhhh.... Hebu tulia na hiyo kwanza......Ebu hacha fujo
Mlivyokuwa mnakuja kujaza utopolo kule kwa jukwaa la making of London unafikiri sisi tulikuwa tunaona raha eeeehhhh.... Hebu tulia na hiyo kwanza...... View attachment 1525451

Usajili wetu siyo kama Arsenal anavyosajili. Havertz anatakiwa kwa sababu ya ubunifu wake katika attacking midfield. Usajili hautaishia hapo hatuna mawazo kama timu yenu inavyosajili.Ngoja niwaambie kitu wanachelisii kuhusu usajili wenu japokuwa mimi sio shabiki wenu.
Chelsea tatizo lenu kubwa lipo kwenye beki na mshambuliaji.
Sasa nawashangaa mnavyohangaika kusajili viungo washambuliaji wakati miviungo mnayo ya kutosha!
Huyu Havert sio namba 9 kama hamjui, ni natural 10!
Ona mmesajili Timo Werner (LWF), Ziyech (AMF/RWF) bado mnataka kumsajili Kai Havert (SS) wakati mlitakiwa msajili mtambo wa kupachika mabao, nazungumzia Natural Striker (9, CF) ili tatizo lenu lipate utatuzi.
Na sitoshangaa msimu ujao tukaendelea kuwaona akina Zouma, Rüdiger na Azpilicueta kule nyuma maana huwa mnajenga katikati halafu nyuma mnaziba nyufa tu, mwisho wa siku ukuta unaachia tena.

HaaahaaaaaaaUsajili wetu siyo kama Arsenal anavyosajili. Havertz anatakiwa kwa sababu ya ubunifu wake katika attacking midfield. Usajili hautaishia hapo hatuna mawazo kama timu yenu inavyosajili.
Kiungo mzuri kama Partey mnaweza ku bargain hivi kweli?View attachment 1525515
Endelea kuota na wachezaji wako Wa mafungu...timu LA mfadhaiko mpk mashabiki wanahama na msimu ujao wanakuja Newcastle wengine ..sijui utakuwa kwenye mbio za nn na kina salibaSasa wewe na wachezaji wako wa maana una nini?Hujiskii vibaya unamwaga pesa afu unakalishwa na hao unaowaita wachovu
Sisi tutakufunga hata umsajili Messi, wewe ni wetu tu.
Hiyo ndio maana ya Timu kubwa.
Kuhusu Martinez kudaka nje ya eneo lake, kwenye sheria za mpira huwa wanahukumu kutokana na position ya mwili kwa sababu huwezi kupima mpira ulio kwenye spacekuwa uko ndani au nje
Nimekuuliza mbona ujajibu swali.Usijibu hivyo kama humjui Havertz
Mechi ya jana hatukucheza na Arsenal
Ilikuwa ni Antony Taylor vs Chelsea FC na matokeo ni 2-1 Mabao yote ya Antony Taylor yakifungwa na Auba. ilikuwa lazima tufungwe
Jamaa analeta story nyiiiiingiBanah eeeh! Wewe ulishalambwa inatosha. Arsenane ndiyo mabingwa wa FA
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la wabongo wengi hamuangalii source bora za habari, mkikuta habari yeyote mtandaoni mnachukua tu.. Sasa huyo alieandika hivyo ana tofauti gani na wale wadau wa vijiweni?!Usajili wetu siyo kama Arsenal anavyosajili. Havertz anatakiwa kwa sababu ya ubunifu wake katika attacking midfield. Usajili hautaishia hapo hatuna mawazo kama timu yenu inavyosajili.
Kiungo mzuri kama Partey mnaweza ku bargain hivi kweli?View attachment 1525515
Kumbe ndugu yangu humfahamu Fabrizio Romano mpaka sasa? Media zote hasa kwenye masuala ya michezo hakuna anayetoa habari za uhakika kama Romano. Deals zote za usajili mara zote yeye ndio huwa wa kwanza kureport nani uhakika ni muda mrefu sana. Huyu jamaa ni mfanyakazi Skysport nashangaa mpaka leo humjui. Loh!!!Tatizo la wabongo wengi hamuangalii source bora za habari, mkikuta habari yeyote mtandaoni mnachukua tu.. Sasa huyo alieandika hivyo ana tofauti gani na wale wadau wa vijiweni?!
Wee tulia tu, yajayo mbona yanafurahisha huko kwa washikilia mitutu
Kumbe mfanyakazi wa sky sport! sasa mimi nikifuatilia post za sky sport si inatosha!Kumbe ndugu yangu humfahamu Fabrizio Romano mpaka sasa? Media zote hasa kwenye masuala ya michezo hakuna anayetoa habari za uhakika kama Romano. Deals zote za usajili mara zote yeye ndio huwa wa kwanza kureport nani uhakika ni muda mrefu sana. Huyu jamaa ni mfanyakazi Skysport nashangaa mpaka leo humjui. Loh!!!
Arsenal Fans mko desperate na timu yenu kweny usajili mpaka hamfuatilii kabisa.
Mipira ya chini, mipira ya hewani mwili unaamuaUmedanganys kuhusu "Position ya Mwili".
Unakumbuka Kipindi Gareth Bale yupo kwenye ubora wake alipokimbia na Mpira pembeni akatoka nje ya uwanja akamzunguka beki wa Barcelona kupitia kwenye Mabango huku mpira ukiwa uwanjani na akarudi uwanjani kwenda kufunga goli? (Ningekuwa na Video ningekuwekea).
Swali: Kwani Refa hakusema mpira umeshatoka nje kwasababu position ya mwili wa Bale ilikuwa nje ya uwanja? Je hapaalipaswa kulikataa goli kwa sababu ya Mwili wa Bale, au alikuwa sahihi kulikubali kwa sababu Mpira haukutoka nje ya uwanja bali aliyetoka nje ya uwanja ni Bale tu?
Sheria za Soccer zote zinasema"In football, the ball is the one that determined the position in the field."
Uko sawaKumbe mfanyakazi wa sky sport! sasa mimi nikifuatilia post za sky sport si inatosha!
Jamaa kwakuwa kafungwa anataka sheria zote za mpira ziwe upande wake.Umedanganys kuhusu "Position ya Mwili".