Mlenge
R I P
- Oct 31, 2006
- 2,125
- 2,317
Wenyeji wa humu ndani wamepotelea wapi jamani.!
Mechi ya Chelsea na Arsenal Fainali FA, nadhani yafuatayo yatatokea:
1. Arsenal itachukua kombe.
2. Mojawapo au zaidi ya yafuatayo yatatokea: (a) Arsenal itapewa penati. (b) Goli la Chelsea litakataliwa.
Umejitahidi kupredict unapata 90%FT Arsenal 2 Chelsea 1.
1. Arsenal imechukua kombe. [emoji818]
2. Arsenal imepewa penati, na zaidi ya hayo... [emoji818]
Nadharia inaendana na matokeo [emoji818] .
London always blueLondon is Red
Ukibisha natuma hizi kama mia.
Umejitahidi kupredict unapata 90%
Kama uliweka na mkeka basi unapiga mruzi tu Saiv.
#NabiiUmetisha
Ebu rudini kwenye thread yenu msiwe mnadangadanga tu humu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1524306