Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

We are still not the best in epl

Ni timu mbili ambazo ni superior kwa Ligi ya Uingereza kwasasa.. Sijashangazwa na matokeo kwasababu Liverpool ni timu bora pale Epl na hakuna timu ambayo haijungwa na Liverpool msimu huu..

We still had a chance against Wolves (Tunahitaji sare tu kufuzu kwenda champions league), Nafasi yetu ipo palepale...

Gemu ya mwisho kati ya Man u Vs Leicester itakua game of death....

N:B - Man u & Leicester wanahaki ya kufurahia matokeo haya,, yanawapa bado nafasi ya UCL.
Ila ndugu zetu wa arsenal ndo nawashangaa sana,, sisi na wao ni kama mbingu na ardhi (Nilisema mapema mashabiki wa arsenal wamepoteza unazi kwa timu zao, timu yao ikifungwa haiwaumi kabisa, wameshakua sugu na vichapo. Wanavoshadadia humu ndani unaweza dhani jana wao walifingwa na big six team)
Endelea kujidanganya tu
 
Hakuna mtu anakubishia, Kepa is the wordiest GK in EPL this season
Magoli takriban matatu angeweza kuyazuia kwa mwili yeye anabaki kuyazuia kwa macho
Ndo uwe unapunguza kuongea sasa.Mara tutamkalisha liva,mara tutamkalisha wolves,mara sijui tutamkalisha nani.
Halafu uache kuandika takataka kwenye majukwaa ya watu.
 
POLENI SANA WANA BLUES.

Sikubahatika kuangalia hii mechi, pia nilijua hatutashinda Anflied, pale pagumu kushinda, zaidi ya misimu 2 hakuna timu pinzani imepata ushindi Anflied.

Baada ya sisi kutumia nguvu kubwa kushinda mechi na manyumbu nalitegemea wachezaji wetu jana hawatakuwa kwenye kiwango bora/uchovu. Niliombea angalau tupate draw.

Kwa sasa tufocus kwenye kushinda mechi ya mwisho na wolves nyumbani tumalize TOP 4.

Jana ilikuwa ni mechi ya 59, msimu mmoja una home games 19, mara 3 unapata 57.

Ni misimu 3 na games kadhaa to be specific.
 
Naona kwenye official page Chelsea IG & FB, wanamlaumu sana KEPPA , itakuwa katoa maboko ya kudead person. Nikitulia nitaangalia highlights. Baada ya Mechi kuisha Lampard angempiga Keppa risasi ya kichwa.
On target zote za Liverpool walizofanya zilikuwa goals.Anold ana funga goal la foul Kepa anaamwachia nafasi kubwa ya wazi badala ya kukaa katikati ya goal.Kepa Ni pazia nilikuwa namvumilia sana lakini kwa style nimeshindwa kumvumilia.
 
Kepa jana usiku
IMG-20200723-WA0000.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom