Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,585
- 2,666
Wewe ni me au keHakukuwa na kipa pale, bora wangeweka tu pazia.!!
No matter what, Chelsea for life hata tufungwe 9 nini 5,
Wewe ni me au keHakukuwa na kipa pale, bora wangeweka tu pazia.!!
No matter what, Chelsea for life hata tufungwe 9 nini 5,
Sasa kama wewe huwezi ndio zitaweza hizi takatakaHahaha huyo Arsenal mwenzangu nawaachia nyie Chelsea mumhukumu mi siwezi.

Muulize yeye anaweza funga hata hizo 3.?? Au ndiyo kamoja chali.?
Tulia wewe hizi taka zinaletaga mavurugu sana kule kwa maKing, hili battle usiliingilie kabisa kaa pembeni
Sorry mkuu, ila kwani wewe ulikuwa unataka kusoma nini humu saa hizi??? Unavyofikiri kutakuwa na jipya zaidi ya hayo niliyoyaandika???Unavyopost hivyo, unasumbua wasomaji.
Siyo powa.

Kupost kitu kama hicho mara nyingi wanasema ni spam ni kosa kwa sheria za jfkwa lipi? Hata wewe ripoti tu mzee,kikubwa sijafanya jinai yoyote, sijamtukana mtu.... Kama 5g ni tusi basi tutapigwa ban wengi,
Labda nikuambie jambo 1 tu kuwa mimi siogopi ban![]()
Sisi huyo Liver tumemtandika,We are still not the best in epl
Ni timu mbili ambazo ni superior kwa Ligi ya Uingereza kwasasa.. Sijashangazwa na matokeo kwasababu Liverpool ni timu bora pale Epl na hakuna timu ambayo haijungwa na Liverpool msimu huu..
We still had a chance against Wolves (Tunahitaji sare tu kufuzu kwenda champions league), Nafasi yetu ipo palepale...
Gemu ya mwisho kati ya Man u Vs Leicester itakua game of death....
N:B - Man u & Leicester wanahaki ya kufurahia matokeo haya,, yanawapa bado nafasi ya UCL.
Ila ndugu zetu wa arsenal ndo nawashangaa sana,, sisi na wao ni kama mbingu na ardhi (Nilisema mapema mashabiki wa arsenal wamepoteza unazi kwa timu zao, timu yao ikifungwa haiwaumi kabisa, wameshakua sugu na vichapo. Wanavoshadadia humu ndani unaweza dhani jana wao walifingwa na big six team)

Oya mzee vipi, mbona unanikabia juu kama Partey???Kupost kitu kama hicho mara nyingi wanasema ni spam ni kosa kwa sheria za jf
Yule boya kila mara anaita polisi, anasahau vurugu zake anazoletaga kule kwetuDah, we jamaa noma, umemfanya Papaa Gx akimbilie kwa Mods, umemshika penyewe.
Yule mwingine mpiga Kelele sir Ollachuga Oc najua hatutamuona hapa kwa muda kidogo.![]()

Hapa sasa ni unajifariji.Kilichotokea jana Chelsea kufungwa ndio raha pekee iliyobaki kwa hao maswa-maswa wa Emirate
Hapa sasa unazingua.Oya mzee vipi, mbona unanikabia juu kama Partey???
Nipige hiyo ban basi, maana sikuelewi... Nilishakwambia mimi siogopi ban,
So kaa ukitulia
"U-ta-vu-na u-li-cho-pa-ndaa daah daah! "Dogo jifunze kuwa na adabu kwa wakubwa zako
Wewe Arsenal unaingizaje kwenye kipigo chako cha mkono✋.We are still not the best in epl
Ni timu mbili ambazo ni superior kwa Ligi ya Uingereza kwasasa.. Sijashangazwa na matokeo kwasababu Liverpool ni timu bora pale Epl na hakuna timu ambayo haijungwa na Liverpool msimu huu..
We still had a chance against Wolves (Tunahitaji sare tu kufuzu kwenda champions league), Nafasi yetu ipo palepale...
Gemu ya mwisho kati ya Man u Vs Leicester itakua game of death....
N:B - Man u & Leicester wanahaki ya kufurahia matokeo haya,, yanawapa bado nafasi ya UCL.
Ila ndugu zetu wa arsenal ndo nawashangaa sana,, sisi na wao ni kama mbingu na ardhi (Nilisema mapema mashabiki wa arsenal wamepoteza unazi kwa timu zao, timu yao ikifungwa haiwaumi kabisa, wameshakua sugu na vichapo. Wanavoshadadia humu ndani unaweza dhani jana wao walifingwa na big six team)
Eti hasira! Kwan ndo inayocheza mpira![SUB]Hasira zetu tarehe 1 mtatukoma subirini tuu Landon is blue[/SUB]