Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

240px-Chelsea_FC.svg.png


Full name:
Chelsea Football Club

Nickname(s): The Blues, The Pensioners

Founded: 10 March 1905

League: Premier League

Website: ChelseaFC.com


View attachment 450996
Ground: Stamford Bridge, (Capacity: 41,663) - Pitch 103m x 67m


View attachment 450991
Owner: Roman Abramovich

View attachment 450993
Chairman: Bruce Buck

View attachment 1148045
Head Coach: Frank Lampard
Chelsea Trophies:
League Tittles: 6

Premier League Champions: 5 (2016/17, 2014/15, 2009/10, 2005/06, 2004/05)
First Division Championship: 1 (1954/55)

European Trophies: 6
UEFA Champions League: 1 (2011/12)
UEFA Europa League: 2 (2012/13, 2018/19)
UEFA Super Cup: 1 (1998)
UEFA Cup Winners': 2 (1997/98, 19970/71)

FA Cup Trophies: 8 (2018, 2012, 2010, 2009, 2007, 2000, 1997, 1970)

League Cup: 5 (2014/15, 2006/07, 2004/05, 1997/98, 1964/65)

Community Shield: 4
FA Community Shield: 2 (2009, 2005)
FA Charity Cup: 2 (2000, 1955)

Other Trophies
Second Division Championship: 2 (1988/89, 1983/84)
Full Members Cup: 2 (1989/90, 1985/86)


View attachment 794454
Chelsea Football Club celebrate as they Crowned The Emirate FA Cup Winners(2018)

View attachment 1111925
Chelsea Football Club celebrate as they Crowned Europa League Champions (2018/19)


View attachment 1126248
Chelsea FC Premier League Fixture for 2019/20

Follow this thread for team updates!
asante liverpool jana mlitunyoa nywele zote, za katikati ya mapaja
 
Kupost kitu kama hicho mara nyingi wanasema ni spam ni kosa kwa sheria za jf
Uko sahihi, kwa sheria za mitandao, posting ya namna hiyo ni spam na adhabu yake easy and straight forward ni kufungiwa kwa muda akirudia tena kufungiwa kabisa
 
USA inahangaikia minara ya 5G hadi wanagombana na China. Liva badala wakachomeke minara USA walipwe mahela wameenda kuchomeka Darajani.

Now kila mtu analikimbia daraja
 
POLENI SANA WANA BLUES.

Sikubahatika kuangalia hii mechi, pia nilijua hatutashinda Anflied, pale pagumu kushinda, zaidi ya misimu 2 hakuna timu pinzani imepata ushindi Anflied.

Baada ya sisi kutumia nguvu kubwa kushinda mechi na manyumbu nalitegemea wachezaji wetu jana hawatakuwa kwenye kiwango bora/uchovu. Niliombea angalau tupate draw.

Kwa sasa tufocus kwenye kushinda mechi ya mwisho na wolves nyumbani tumalize TOP 4.
Mimi niliangalia yote, Chelsea ilicheza vizuri sana, hata ukifuatilia commentators wa mechi wanakiri jinsi timu mbili zenye kucheza kandanda safi EPL walivyoonyesha burudani nzuri. Mimi nilikuwa nafuatilia Suppersport3. Tofauti yetu ndogo sana na Liverpool ni kwenye defense na Kipa.
Defense walicheza vizuri ila wanajisahaau kwenye open space kwenye final third ya kwetu na Liverpool forward ni wajanja sana walizitumia hizo weaknesses. Pia kuna makosa ya wazi kidogo zilziofanywa na akina Willian nafikiri kwenye goli la kwanza ambayo Nabi Keita aliitum ia kufunga goli. Pia viungo wetu walichoka kipindi cha pili ambapo possesion ilidrop kutoka 62% kipindi cha kwanza hadi 48% before sub ya Odoi, Pulisic na Tammy Abraham ilikuja kufufua umiliki wa mpira hadi ikiafika 50% na kuwafanya Chelsea tena kupeleka mashambulizi ya nguvu mbele iliyozaa magoli mawili ya haraka na kufanya mabao kuwa 4-3 kisha tukajisahau tena na ndipo Chamberlain akaongeza la tano.
Fuatilia comment za pundits na hao watangazaji utaona impression yao kuhusu hiyo burudani ya jana ambayo ilitofautishwa na magoli tu! Huu ndio ukweli. Kwa standard ya mpira wa jana tukikutana na hao maiti wa emirate watakula 7 au 10 kwa mabao machache ya kufuta machozi
 
Uko sahihi, kwa sheria za mitandao, posting ya namna hiyo ni spam na adhabu yake easy and straight forward ni kufungiwa kwa muda akirudia tena kufungiwa kabisa
Acha kupiga mayowe, huu mchezo hauhitaji hasira
1595495032534.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom