Hahaha huyo Arsenal mwenzangu nawaachia nyie Chelsea mumhukumu mi siwezi.Hii takataka ni ya kuripoti apumzishe kidogo utoto wake nyumbani na hata sijui kama homework kafanya kwanza.!!
Shida siyo kuwa Arsenal, shida ni hiyo childish ako anafanya hapo.!Hahaha huyo Arsenal mwenzangu nawaachia nyie Chelsea mumhukumu mi siwezi.
Watu wengine bhana 😂Kwa hiyo mmekula kiganja 😁😁😁
Hakukuwa na kipa pale, bora wangeweka tu pazia.!!Hakuna mtu anakubishia, Kepa is the wordiest GK in EPL this season
Magoli takriban matatu angeweza kuyazuia kwa mwili yeye anabaki kuyazuia kwa macho
Muulize yeye anaweza funga hata hizo 3.?? Au ndiyo kamoja chali.?Dogo ana utoto sana, mbona sisi tumu yao ikifugwa tunatulia tu
Mkuu hasa Gnabry na London is red vinahusiana na nini, naomba maelezo hapa.[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1514271
Nafurahi Sana kusikia hivo, blues forever 💙💙💙Hakukuwa na kipa pale, bora wangeweka tu pazia.!!
No matter what, Chelsea for life hata tufungwe 9 nini 5,
Nyama kwa nyamaGusanisha!
Tulia wewe hizi taka zinaletaga mavurugu sana kule kwa maKing, hili battle usiliingilie kabisa kaa pembeniChildish
kwa lipi? Hata wewe ripoti tu mzee,kikubwa sijafanya jinai yoyote, sijamtukana mtu.... Kama 5g ni tusi basi tutapigwa ban wengi,DullyJrukiripotiwa unachukua ban yako mapema tu.
Nipe tu uone maana hiyo avatr tu yatosha kumaliza pakti mbiliMuulize yeye anaweza funga hata hizo 3.?? Au ndiyo kamoja chali.?
MkonoMkuu hasa Gnabry na London is red vinahusiana na nini, naomba maelezo hapa.
Ukiwa hauna point ya kutetea timu yako ni Bora ukakaa kimya tu.
Tatizo sio kufungwa, tatizo unafungwa ngapi?? [emoji23][emoji23][emoji23]Dogo ana utoto sana, mbona sisi tumu yao ikifugwa tunatulia tu
Takataka ni zile zimegongwa 5 mkuuWe takataka tarehe 1 ndio Utajua hujui nyau ww
Chizi karogwa tena siyo, duh! kazi unayo mkuu.Mkono
Ukileta shombo nakupiga na 5g[emoji23][emoji23][emoji23]Chizi karogwa tena siyo, duh! kazi unayo mkuu.