DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871





Hakuna mtu anakubishia, Kepa is the wordiest GK in EPL this seasonUtadhani siye aliyempigia Man City anavyomsulubu. Hua nikisema Kepa na De Gea ni wabovu shots za mbali Ollachuga Oc uwe unaelewa
Kama hujaona ndugu una shida, ngoja wengine wasemeSijaona makosa ya Kepa
We unahisi itaonekana?Kwa hiyo mpira ukiisha kwenye ubao itaonekana "amechambua watu wanne"?
Mkuu nyie ndiowazoefu wa mambo haya. Huwa mbawezaje kuvumilia hivi vipigo maana najua una experienceya mbali sana.
Kachambua watu wanne kwa Hamsa![]()