lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,380
- 25,482
Jana Kepa alikuwa kama vile kabeti maana magoli mengine hata jitihada za kudaka alikuwa hafanyi. kuna hata nafasi zingine Liverpool walikuwa wazembe zingeingia tungekuwa tumefungwa hata 7Naona kwenye official page Chelsea IG & FB, wanamlaumu sana KEPPA, itakuwa katoa maboko ya kudead person. Nikitulia nitaangalia highlights. Baada ya Mechi kuisha Lampard angempiga Keppa risasi ya kichwa.
Kepa ni pazia lenye matobo





