Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu kupiga mashuti ni kipaji aisee, sio kila mchezaji ana uwezo wa kupiga makombora.

Namuangaliaga Pulisic na Kovacic hawawezi kupiga makombora ya masafa mafupi na marefu.

Huwa natamani sana Pulisic angekuwa na nguvu ya kupiga makombora, huwa analenga goli sana ila mpira mingi inakuwa haina nguvu makipa wanacheza.

Mount lile kombora la juzi alijitahidi mpaka de gea akalitema. Kuna mwamba mmoja alichezea Chelsea amestaafu soka juzi Adre Shurrle jamaa ana mwili mwembamba ila akiachia bullet likimpata kipa direct st Thomas Hosp
Siamini Kama nilianza kusoma hii takataka uliyo andika
 
"I have a huge desire to get there but I’d still feel we’ve made huge strides. We weren’t really in too many people’s top fours at the start of the season. We’ve forced ourselves in there. I desperately hope we get there. "
Said Lampard
 
CHELSEA READY TO LURE HENDERSON WITH BUMPER DEAL
Chelsea are willing to increase Dean Henderson’s wages from around £70,000 per week to £170,000 per week to sign the goalkeeper from Manchester United, according to a report.
 
UCL plus Europa EPL teams for 2020/21 season confirmed
  1. Liverpool - 93pts - UCL confirmed
  2. Man city 78 pts - UCL confirmed
  3. Chelsea - 63 pts - UCL/Europa confirmed
  4. LFC - 62pts - UCL/Europa confirmed
  5. Man United 62pts - UCL/Europa confirmed
  6. Wolves - 59pts - Europa confirmed
  7. Tottenham - 58pts - Hot Spurs - Europa confirmed
  8. Sheffield United - 54pts - OUT
  9. Burnley - 54pts - OUT
  10. Arsenal - 53pts - OUT
 
Mechi ya leo tunahitaji kudroo tu na Liverpool ili tuwe top 4
Tunahitaji kumfunga Liverpool ili tubakie kwenye na. 3
So far so good for Chelsea
 
Sababu kubwa ya Arsenal kushindwa kufuzu Europa League!!
  1. Hawana squad ya kuwawezesha kufanya hivyo
  2. Mashabiki wao hawako na timu yao, mfano wengi wao humu jamii forums wamejinafsisha kwa Chelsea wengine Liverpool
  3. Management haina dira yeyote, wakati wa Wenga angalau walikuwa wanatoa chipukizi na kuwauza ili washike mshiko, sasa hivi hawana tena chipukizi wala hawajui hata kusajili
Ndio maana tunasema Auba na Lacazette wanajuta sana kukubali kusajiliwa Arsenal
Tutegemee AUB lazima atalazimisha kuondoka Lacazette yeye naona karidhika
Tutegemee pia wachezaji wazuri hawatakubali kusajiliwa kwenye mid-table team kama Arsenal
Mabadiliko ya Top 6 EPL clubs

  1. Liverpool
  2. Man City
  3. Chelsea
  4. Man United
  5. Tottenham Hotspurs
  6. Leicester City au Wolves (hii tutaconfirma ndani ya misimu mitatu ijayo wakiendelea kuhikilia hizo nafasi)
Arsenal kurudi kwenye top 6 itawachukua miaka 6-10 ali mradi tu wana mikakati ya kuwarudisha huko, wakiendelea kuwa kama walivyo sasa, FORGET ABOUT TOP 6
 
Mechi ya leo tunahitaji kudroo tu na Liverpool ili tuwe top 4
Tunahitaji kumfunga Liverpool ili tubakie kwenye na. 3
So far so good for Chelsea
Tunaitaji point 3 sio moja if Leicester city akampiga man game ya mwisho atakuwa ana point 65 wakati sisi tutakuwa na 64
 
Kwa wale wanaobet, ODDS za Arsenal kushinda FA ni ndogo kuliko za Chelsea kushinda
Makampuni mengi ya kubeti wanatoa hii average ODDS
Arsenal kushinda ni 3.40 maana yake unapokea mpunga mkubwa kwa sababu Arsenal kushinda ni miujiza
Arsenal na Chelsea kudroo ODDS ni 3.50 bado watakaobeti kwenye hii watapokea mpunga mkubwa kwa sababu nayo droo ni miujiza ya msimu
Chelsea kushinda ODDS ni 2.26, mpunga ni mdogo kwa sababu inajulikana kuwa Chelsea atashinda. Period
Arsenal walipoteza nafasi yao ya kushiriki mashindano yao ya Europa kwenye mechi na Aston Villa jana
1595385496557.png

1595385885027.png
 
Tunaitaji point 3 sio moja if Leicester city akampiga man game ya mwisho atakuwa ana point 65 wakati sisi tutakuwa na 64
Uko sahihi kama LFC akimshinda Man U mechi ya mwisho na sisi tukafungwa au kudroo na Wolves itakula kwetu
Ila tuko vizuri kwa sababu baada ya LFC kufungwa sasa watakutana na Man U huku kila mmoja akijua kuwa akipoteza mechi amekwenda na maji
Mechi na Liverpool ni must-win match ili tufunge mahesabu asubuhi
 
UCL plus Europa EPL teams for 2020/21 season confirmed
  1. Liverpool - 93pts - UCL confirmed
  2. Man city 78 pts - UCL confirmed
  3. Chelsea - 63 pts - UCL/Europa confirmed
  4. LFC - 62pts - UCL/Europa confirmed
  5. Man United 62pts - UCL/Europa confirmed
  6. Wolves - 59pts - Europa confirmed
  7. Tottenham - 58pts - Hot Spurs - Europa confirmed
  8. Sheffield United - 54pts - OUT
  9. Burnley - 54pts - OUT
  10. Arsenal - 53pts - OUT
arsenal yeye anasubr fa akishinda tu fa it means ataenda ueropa so game ya fainal itakua ngumu coz ndo only way arsenal to play ueropa
 
Sawa ntamwambia mkuu.

Hongereni sana Wanangu Blues kwa ushindi wa Jana...

Tusibweteke tuwe na Imani na tupeane Moyo tuendlee kutetea nafasi yetu ya 3 maana Manyumbu jana ndo wameelewa kwann tuko nafasi ile na wao kwann wako nafasi ya 5

Kabisa mkuu
 
Mechi na Liverpool itaamua kama tutabaki top 4 au tutegemee mechi ya mwisho
Mpango mzima uko hivi
Scenario ya kwanza
Man U akishinda dhidi ya Westham atakuwa na pts 65
Tukidroo na Liverpool tutakuwa na pts 64
LFC tayari wana 62
Mechi ya mwisho lazima Man U ashinde au atafute droo ili awe na uhakika wa top 4
Kwa matokeo hayo tunapeta tu
Scenario ya pili
Man U akishinda dhidi ya Westham atakuwa na pts 65
Tukamfunga Liverpool tutakuwa na pts 66
LFC tayari wana 62
Mechi ya mwisho lazima Man U ashinde au atafute droo ili awe na uhakika wa top 4
Kwa matokeo hayo tunapeta tu
Scenario ya tatu
Man U atoe droo na Westham atakuwa na pts 63
Tukidroo na Liverpool tutakuwa na pts 64
LFC tayari wana 62
Mechi ya mwisho lazima Man U ashinde au atafute droo ili awe na uhakika wa top 4
Kwa matokeo hayo tunapeta tu
Scenario ya nne
Man U atoe droo na Westham atakuwa na pts 63
Tukamfunga Liverpool tutakuwa na pts 66
LFC tayari wana 62
Mechi ya mwisho lazima Man U ashinde au atafute droo ili awe na uhakika wa top 4
Kwa matokeo hayo tunapeta tu
Scenario ya tano
Man U atoe droo na Westham atakuwa na pts 63
Tukafungwa na Liverpool tutakuwa na pts 63
LFC tayari wana 62
Mechi ya mwisho lazima tushinde ili tuwe na uhakika wa top 4 bila kujali matokeo ya LFC na MU
Scenario ya sita
Man U afungwe na Westham atakuwa na pts 62
Hata tukipoteza kwa liverpool bado tuna pts 63 juu ya MU na LFC
LFC tayari wana 62
Mechi ya mwisho lazima Man U na LFC watwangane ili mmoja awe na uhakika wa top 4
Kwa kufanya hivyo sisi hata tufungwe tena na Wolves bado tupo, wakijifanya kutoa droo wakitegemea tutafungwa na Wolve halafu takadroo tu, Man U atakwenda na maji kwa sababu ya GD yake ndogo dhidi ya LFC

Scenario yeyote ya raundi ya 37 bado itainufaisha Chelsea kwa sababu mechi ya mwisho ndizo zitakazoamua nani kati ya Man U na LFC aingie top 4. Na hiyo mechi ya mwisho itawakutanisha wao wenyewe wachinjane kwa faida ya Chelsea

Nikajua wanacheza leo
 
Uko sahihi kama LFC akimshinda Man U mechi ya mwisho na sisi tukafungwa au kudroo na Wolves itakula kwetu
Ila tuko vizuri kwa sababu baada ya LFC kufungwa sasa watakutana na Man U huku kila mmoja akijua kuwa akipoteza mechi amekwenda na maji
Mechi na Liverpool ni must-win match ili tufunge mahesabu asubuhi

Naiombea chama langu chelsea
 
UCL plus Europa EPL teams for 2020/21 season confirmed
  1. Liverpool - 93pts - UCL confirmed
  2. Man city 78 pts - UCL confirmed
  3. Chelsea - 63 pts - UCL/Europa confirmed
  4. LFC - 62pts - UCL/Europa confirmed
  5. Man United 62pts - UCL/Europa confirmed
  6. Wolves - 59pts - Europa confirmed
  7. Tottenham - 58pts - Hot Spurs - Europa confirmed
  8. Sheffield United - 54pts - OUT
  9. Burnley - 54pts - OUT
  10. Arsenal - 53pts - OUT
Nyumbu yuko nafasi ya tano anakueaje UEFA confirmed?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom