Chelsea kwa leo mechi ni ngumu sana,,
Kwanza tunacheza na timu ambayo ni bora kwa msimu huu
Pili tunacheza na timu bora ikiwa ndani ya uwanja wao wa nyumbani ( Japo kwasasa tunapata imani kidogo kwasababu hakuna mashabiki uwanjani kwa sasa)
Tatu, tunacheza na liverpool iliyo"relaxed sana,, hawatafuti chochote kwa sasa na wanaweza kutuumiza kama tutashambulia sana (hawa jamaa ni wazuri kwa counter attacks).
Nne, mechi ya leo itakua ngumu mno kwetu kwa sababu ni mechi liverpool watakayokabidhiwa kombe lao..
All and all,, we are among the good team in the division.. Ability, commitment pamoja na kujiamini kutatufanya tutoke na matokeo chanya kwenye mechi ya leo