Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wanajimegea vipindi eti wanasema tuanze kihesabj kuanzia mwaka 2000[emoji23][emoji23][emoji23]hawa ni vichaa!!! Ina maana kuanzia 1999 kurudi nyuma cheltako haijakuwepo duniani? Kama ni hivyo timu yao imeanzishwa 2000 sasa kwanini wakomae kuutaka ukubwa na hata barehe ya kwanza bado, yaani bado vigoli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana nasema hili ni jukwaa la vitoto[emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie wenyewe ndio huwa mnasema huo mwaka ndio tuliozaliwa sasa na sisi tunaanza kuhesabia umo umo bado mnalia lia. [emoji23][emoji23][emoji1609]
 
Pulisic katoka wapi? Haya Lacazete naye tusemaje?

Pointless mzee mpaka unaanza kuboa sasa[emoji26]
. Wenye shudu ni nani kati ya mimi na nyinyi? Mnaokomalia ukubwa wakati in reality ni timu ndogo sana kwetu[emoji23][emoji23]

Tunawachapa kwa kila kitu kuanzia resources, fan base, trophies, head to head, etc[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fanbase kubwa, ipi? give me a break, fanbase yenu si ile ya wazee wa 40's 50's and 60's. God forgive me kusema haya, Wengi wao walikufa kwa Corona,
 
Fanbase kubwa, ipi? give me a break, fanbase yenu si ile ya wazee wa 40's 50's and 60's. God forgive me kusema haya, Wengi wao walikufa kwa Corona,
Kwahiyo wewe ulichokiona ni fan base pekee [emoji23][emoji23][emoji23]vingine hujaona maana vinakuumiza[emoji95][emoji57]
Huo ndio ukweli mchungu.

Mtamu kutema, mchungu kumeza[emoji57][emoji57]
Unabaki kama bubu
 
Callum Hudson-Odoi is unhappy at his lack of game time for Chelsea and would consider a move away from Stamford Bridge in the summer transfer window.
1595346642659.png
 
Mashabiki wa hii team wengi viazi akili hamna kusibitisho hilo kesho wana imani kwamba wanaoenda kushinda [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kipigo Kipo pale subirini dawa iwaingie [emoji23][emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom