Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nanyie matakataka mnawazia big 4
Matakataka ni yale yanayopewa kipigo cha mbwa koko na vitimu vya midtable
1594553483688.jpg
 
Hapo kabla niliwahi kusema siasa zinaingizwa kwenye baadhi ya watu walipinga sana. Kuna baadhi ya mambo Chelsea inàfanya hayapewi kipaumbele kabisa wala husikii media zikisifia lakini jambo hilohilo lifanywe na timu za waingereza media zitapeperusha taarifa dunia nzima.

Chelsea tunahujumiwa sana lakini ndio ivyo hatuna la kufanya. Tulipofungiwa sisi hata hawakutaka tulipe fine then ban iondolewe. Wanajaribu kufanya mambo ambayo yatamrudisha nyuma mwekezaji akate tamaa aiuze timu lakini yule Mrusi anawakomalia.
Chelsea ipo wapi mkuu???Mkuranga?au Kibandamaiti?

Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi, anayetuhumiwa kaiba ng'ombe hakukutwa hata na ngozi wala mchuzi,kwanini aadhibiwe,
 
City hajakutwa na hatia ya kukiuka kanuni za FFP ndio maana kifungo kimetenguliwa

Bali amekutwa na hatia ya kutotoa ushirikiano pale mamlaka zilipotaka kuichunguza ndio maana amepigwa faini

Ni kweli kuna kelele kuwa oil money zime influence uamuzi wa CAS
Imenibidi nije niandike kidogo!

Chelsea alikutwa na Makosa

• Chelsea alipigwa Transfer Ban ya Two Windows

Mancity alikutwa na Makosa:
• Man City hakupigwa Transfer Ban
• Karuhusiwa kucheza UCL
• Lakini kapigwa Faini

Eti Hakuna ushahidi wa Makosa ya Man City! Lakini kapigwa Faini

Ndiyo tujuwe kuwa Ulaya Hujuma zipo
 
Kweli siasa zinatukwamisha sana kutokana na mgogoro wa kidiplomasia kati ya urusi na uingereza.

Baada ya kila upande (urusi & England) kufukuza wanadiplomasia wake mpaka leo Roman hajakanyaga London, kaomba uraia wa Israel aingie uingereza bado wamemkatalia, ghafla inakuja ban ya kutosajili wamefukua makaburi ya miaka hiyo.

Hizo ni hujuma ambazo ziko waziwazi je zile za ndani ambazo mashabiki hatuzifahamu?

Chelsea tunapitia kipindi kigumu. Mungu amjaze Roman nguvu asiuze hii club.
Mmeanza visingizio.
Kwamba mnaonewa.
 
Kama kuna shabiki wa chelsea anampiga vita lampard basi apimwe akili sio bure narudia tena apimwe akilii
 
City hajakutwa na hatia ya kukiuka kanuni za FFP ndio maana kifungo kimetenguliwa

Bali amekutwa na hatia ya kutotoa ushirikiano pale mamlaka zilipotaka kuichunguza ndio maana amepigwa faini

Ni kweli kuna kelele kuwa oil money zime influence uamuzi wa CAS
Swadakta mkuu
 
Ugurcan Cakir

Nimeangalia stats za huyu kipa msimu huu 2019/2020, kuanzia tarehe 8/8/2019 mpaka 8/7/2020 amecheza mechi 38.

37 za club
1 ya Taifa

Katika mechi 38 amefungwa magoli 40

Hapa kuna kipa kweli?

Huyu mwaenda kupigwa mchana kweupeeeeeeee...
Leteni 95m tuwape Martinez mashine ya kazi
 
Onana

Msimu huu 2019/2020 amecheza mechi 24, amefungwa magoli 21, clean sheet 8View attachment 1505815
Overrated tu huyu,

kipa wa kweli kwasasa ni Dean Henderson huyu jamaa akikaa golini anatisha,kwanza ana nguvu za miguu hatari anaweza piga goli mpaka goli kwa hiyo ni hatari sana katika kuanzisha mashambulizi

Mwingine ni Nick Pope ana uwezo wa hali ya juu kupita huyo mcameroon,
 
Kweli siasa zinatukwamisha sana kutokana na mgogoro wa kidiplomasia kati ya urusi na uingereza.

Baada ya kila upande (urusi & England) kufukuza wanadiplomasia wake mpaka leo Roman hajakanyaga London, kaomba uraia wa Israel aingie uingereza bado wamemkatalia, ghafla inakuja ban ya kutosajili wamefukua makaburi ya miaka hiyo.

Hizo ni hujuma ambazo ziko waziwazi je zile za ndani ambazo mashabiki hatuzifahamu?

Chelsea tunapitia kipindi kigumu. Mungu amjaze Roman nguvu asiuze hii club.
Tunaoumia ni sisi wenye mahaba na timu zetu. Nyumbu wanachekelea tu.
 
Ugurcan Cakir

Nimeangalia stats za huyu kipa msimu huu 2019/2020, kuanzia tarehe 8/8/2019 mpaka 8/7/2020 amecheza mechi 38.

37 za club
1 ya Taifa

Katika mechi 38 amefungwa magoli 40

Hapa kuna kipa kweli?
Nimeangalia stats zake kwenye who scored.com ana strengths nyingi tu pia ukiangalia highlights zake YouTube anasafiri kinoma( ingawa hata bakayoko ana clip Kali za YouTube) lkn anaonekana mzuri....huwezi jua labda anaangushwa na beki na timu yao ni ya pili ligi ya uturuki, cech maybe kaona potential kwa huyu kipa

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Nyie takataka hamjui Kama team ya Dunia inacheza au mnajisahaulisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom