Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kweli mkuu, Hakuna kitu nachukia kama hicho kitu cha kuombea njaa wengine, ushabiki wa kijinga sana huo.

Sisi tunatakiwa tushinde mechi zetu muhimu bila kuangalia nani anashinda nini.

Liverpool wangekuwa wanaombea wengine njaa angebeba kombe? Liver alijiwekea malengo ya kushinda kila mechi anayocheza, kudraw au kufungwa iwe bahati mbaya.

Chelsea tushinde mechi zetu tuache mambo ya kupiga ramli
Nao ni unafiki, unasema hivyo hadharani ila wakifungwa furaha kubwa moyoni
Maji yakimwagika huwezi kuyazoa, Chelsea imeshapoteza mechi muhimu,
Mimi nawatakiwa Man U wafungwe kama LFC jana siwezi kuficha ya moyoni nitakuwa mnafiki
 
Kweli mkuu, Hakuna kitu nachukia kama hicho kitu cha kuombea njaa wengine, ushabiki wa kijinga sana huo.

Sisi tunatakiwa tushinde mechi zetu muhimu bila kuangalia nani anashinda nini.

Liverpool wangekuwa wanaombea wengine njaa angebeba kombe? Liver alijiwekea malengo ya kushinda kila mechi anayocheza, kudraw au kufungwa iwe bahati mbaya.

Chelsea tushinde mechi zetu tuache mambo ya kupiga ramli
Daah kweli kabisa man. Lakini ndio hatuna namna leo Southampton amkazie Man watoke hata draw itakua ni faida kwetu.
 
Aya nyie cheltako leo mnatolewa rasmi kwenye nafasi mliyomshikia bwana wenu
 
Baadae lazima mtasema tumehonga mechi kwa akili zenu takataka mana naenda kumchakaza soton hamta amini kipigo chake [emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20200713_123001_079.jpg
 
Big 4.
Liverpool
ManCity
ManUtd
Wolves.

*Naomba mtunze huu ujumbe*
 
Hii siku ya tarehe 14 Chelsea vs Norwich ni siku ambayo maiti anakufa na mwoshaji ambaye Chelsea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mtatukanana sana humu ndani ..kipigo nakiona [emoji39]
Screenshot_20200713-124753.jpg
 
Sisi kama Wolverhampton hatujaona mechi ya kupoteza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20200713-124649.jpg
 
Hiyo mechi ya Cheltako na Wolverhampton namuona beki wa Cheltako akila umeme [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Arsenal jamani mbona wamekuwa wapole kama Yanga humu ndani
Himj hatujawahi kupoa na hatupoi mzee,ile ilikuwa derby ya London ila hiyo ya Sheffield sijui ilikuwa nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
1594497199533.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom