Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hater's greenwood start again
IMG-20200713-WA0052.jpg
 
Manure 2 Southampton 2
Hata hivyo Manure mpaka walikofikia wamejitahidi sana
 
Kweli mkuu, Hakuna kitu nachukia kama hicho kitu cha kuombea njaa wengine, ushabiki wa kijinga sana huo.

Sisi tunatakiwa tushinde mechi zetu muhimu bila kuangalia nani anashinda nini.

Liverpool wangekuwa wanaombea wengine njaa angebeba kombe? Liver alijiwekea malengo ya kushinda kila mechi anayocheza, kudraw au kufungwa iwe bahati mbaya.

Chelsea tushinde mechi zetu tuache mambo ya kupiga ramli
Vipi droo hujafurahia
 
Bournemouth 4 LFC 1, bado tuko kwenye nafasi yetu
Kesho Manure anasambazwa kabisa na Southampton, watu wamesahau kuwa EPL mwishoni matokeo huwa ni Vice Versa
Narudia nilichokiandika juzi jumapili, mbole imesambazwa kisawasawa na sasa mjini lazima tuheshimiane, wakirudi kwenye huu uzi mniambie nina salamu yao
 
Ukweli ni kwamba Leicester kubaki top 4 ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano na wakiweza lazima mtu afe na mmojawapo wa kutolewa kafara ni Manure
Taratibu inakuja kutimia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom