Chelsea fans wenzangu, Kuna wakati ufike tukubali kuwa team yetu inamapungufu mengi mno.
1. Tunadefence mbovu kabisa ambayo defenders hawana consistent kwenye game wanazocheza, kila beki kule nyuma anamapungufu mengi. Rjames , Cristinsen, Zouma, Rudiger na Marcos pia.
2. Tusitupe lawama zetu nyingi kwa Kepa, sababu kama beki zina mpa pressure mda wote kwa kufanya makosa kwenye making na ukabaji lazima nae atakua dhaifu na kuruhusu magoli mengi .
3. Hatuna mshambuliaj wa uhakika, sio Tammy wala Giroud , wana afadhali lkn hawana uhakika.
4. Pia kiungo chetu bado kina mapungufu , unaweza mtegemea joginho lkn nae anamapungufu yake, Dogo Billy nae bado hana exposure yakutosha, kovasic nae wakati mwingine anazingua sana,
5. Mwisho team yetu inatakiwa ifumuliwe yete yaana kuna wachezaji wengi sana hawapaswi kuwepo Chelsea for next season , kama Tammy, Marcos , Rjames, RlC, Odoi, coz hawashawishi kutokana na kiwango chao,
6. Usajili wa defenders ni wa muhim mno , ili tufanikiwe msimu ujao.
Nawasikisha maoni yng, #CFC