Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Acha kutetea upuuzi, game la leo limekua gumu sababu ya ubaguzi wake. Jog hakutakiwa kuanzia benchi! Mambo gani haya naangalia gemu nimebana mapu. mbu mpk sahiz pu. mbu zote zinauma.

Ile penalt y pili aliona noma tu kumkatalia drogba, ila lengo lake ilikua rooney ndio achukue kiatu.
Dakika 5 za nyongeza jorginho hakuwepo ?

Mechi ngapi tumecheza na jorginho na bado tukashambuliwa sana,

Kushambuliwa ni part ya mchezo endapo matokeo yanapokuwa 1-0,2-1 nk ambapo tim pinzan inakuwa inatafuta goal la kusawazisha hicho nikitu cha kawaida ni jinsi tu tim itakavyodefend or itakavyoweza kuuwa mchezo kwa kutafuta goal,
 
Acha kutetea upuuzi, game la leo limekua gumu sababu ya ubaguzi wake. Jog hakutakiwa kuanzia benchi! Mambo gani haya naangalia gemu nimebana mapu. mbu mpk sahiz pu. mbu zote zinauma.

Ile penalt y pili aliona noma tu kumkatalia drogba, ila lengo lake ilikua rooney ndio achukue kiatu.
Huwezi ukaweka maslah ya mtu mbele badala ya tim

Issue za individual huwa zinakuja pale malengo ya tim yanapokuwa yashakamilika

Ni sawasawa mpo dk ya 90 penalt imepatikana unahis utampa drogba kisa anagombania gb hapana lazima uumpe pt wenu
 
Ile Party ya Ubingwa (Liverpool) si ndo hii sasa. Ni pale Mercury Park Magomeni siku ya Jmosi tarehe 11/7/2020, ataliwa ng'ombe mzima buuureee. Tutakunywa supu, tutachoma nyama na kula pilau kwa ushiriki wa Jezi yako tu. Kama uko Dar ndiyo fursa sasa. Thibitisha Ushiriki wako kwa kunitumia jina lako kupitia 0716109169 ama 0755057229.
IMG_20200708_110026_048.jpg
 
Mzee Hawa jamaa walituwin kwasababu dogo gilmour alishindwa kucontrol mpira Kati ndio maana jamaa waliapata upenyo wa kutushambulia lakini Kama jorginho angeanza tangia mwanzo mpira Mara nyingi ungekuwa kwetu so why nimeongea hivyo.
Game ilikuwa tushaitawala lakin baada ya palace kupata goal ambao halikutegemewa likawafanya warudi mchezoni
Ni sawasawa na tammy alivyofunga goal la 3 uzembe wa mabeki ukawafanya tena palace warudi mchezoni
 
Huwezi ukaweka maslah ya mtu mbele badala ya tim

Issue za individual huwa zinakuja pale malengo ya tim yanapokuwa yashakamilika

Ni sawasawa mpo dk ya 90 penalt imepatikana unahis utampa drogba kisa anagombania gb hapana lazima uumpe pt wenu
upo sahihi watu wana chuki binafsi ata kipind aanza watu baado wanlalmk waingeleza wanabebwa
Sas angalia academy almost all players ni waingeleza na hao ndio waliopandishwa timu haikusajili uyo asiemuingeleza atoke wapi ndo acheze sometimes watu tuache chuki mtu akifanya vzr asifiwe
For now npo n lampard
 
Ile Party ya Ubingwa (Liverpool) si ndo hii sasa. Ni pale Mercury Park Magomeni siku ya Jmosi tarehe 11/7/2020, ataliwa ng'ombe mzima buuureee. Tutakunywa supu, tutachoma nyama na kula pilau kwa ushiriki wa Jezi yako tu. Kama uko Dar ndiyo fursa sasa. Thibitisha Ushiriki wako kwa kunitumia jina lako kupitia 0716109169 ama 0755057229.View attachment 1500852
Halali muende kuparty maana miaka 30 bila epl crown ni kitambo Sana, lakini sisi Chelsea epl crown ushakuwa uwanja wa nyumbani tunaamua tu mwaka upi tuchukue na upi tusichukue.

Pride of London 💙
 
Kuhusu LAMPARD binafsi nimeshindwa kutenganisha madhaifu ya mbinu za kocha na aina ya uchezaji wa wachezaji tulionao.

Kwa mfano tangu Lampard atue Chelsea katika eneo ameshindwa kuliorganize ni viungo wa timu.

Ukiangalia kwa makini Chelsea pale katikati kama kuna kamuunganiko, kambinu, kaubunifu flani kanakosekana nyuma mbele.

Njia panda yangu inapokuja kwamba kwa idadi ya viungo wengi tulionao ni kocha ameshindwa kuwapanga na kuwatumia au hawa viungo tulionao viwango vyao ni duni kutekeleza maelekezo ya kocha.

Badala ya deliver 90% au 100% ya maelekezo ya mwalimu, wao wanadeliver 50%

Najaribu kuvuta picha kile kiungo cha:-

Matic - Kante - Fabrigas

Mbona hichi kiungo kilikuwa very organized na stable kuliko kiungo cha sasa hivi.

Au Kovacic, Jognho, Barkely, mount hawajafikia ubunifu wa matic, na Fab au Lampard ndio ameshindwa kuwaorganize hawa jamaa na kupelekea hapo katikati kuwa dhaifu?
Sababu ya kwanza, Matic na Fabregas hawapo tena Chelsea
Sababu ya pili, Kante kachezeshwa out of position kwa muda mrefu. Laiti tangu mwanzo kocha angemchezesha Kante kwenye nafasi yake, angeshapata muunganiko unaousema
Sababu ya tatu, Kante kawa majeruhi kwa muda mrefu na hivyo hiyo nafasi asingeweza mwingine, Jo anajaribu lakini anachoka mapema na akichoka ni rafu mbele kwa mbele
Sababu ya nne, Kovacic anayomadhaifu makubwa ya kutokuwa mchezeshaji na mtoaji wa assists, anaweza kumiliki mpira lakini mpira ukimtoka unakuwa too ordinary hauna madhara kwa oponents
Sababu ya tano, RLC kuwa majeruhi mwaka mzima ulizima kasi yake aliyokwisha onyesha wakati wa Sarri, angeendelea na moto ule RLC sasa hivi angekuwa ni kiungo tegemewa, karudi ni kama anaanza upya kuuzoez mpira
Kwa mfano jana kukosekana kwa Kante tu Defense inaonekana ina matobo wakati DM akiwemo mzuri defense nayo inaonekana iko effective
 
farb alikua level kubwa sana ngumu sana kumpata kiungo aina ya farb Man untd wanesuffer same consequences kbla hajaja bruno now wako stable coz Bruno ankuoffer more than other middles

Same to Tottenham nao wanapitia changamoto

Huwez mlaaumu kwa wachezaji kutokuw na consistence unkut leo viungo wamcheza vzr but viungo haohao wancheza ovyo gemu inayofuata

Kingen kiungo anawez kuonekan mzur kutokana na timu inayo mzunguk
Mfano pogba Alkuw anaonekan amedrop before Bruno but now ana shine io ikichangiwa na forwads walio nao
Wanfanya timu pinzan msifunguke wao ndo wanatawala mchezo na viungo apo wanaonkn
Umeongea point ya maana sana. Kukopsekana kwa mchezaji muhimu mmoja anaweza kuwafanya wengine wasicheze vizuri
 
Team of the week 34

Goalkeepers

  1. Ben Foster
  2. Emiliano Martinez
Defenders
  1. Cesar Azpilicueta
  2. Serge Aurier
  3. Kyle Walker
Midfielders
  1. Bruno Fernandes
  2. Willian
  3. Kevin De Bruyne
  4. Michail Antonio
Forwards
  1. Harry Kane
  2. Jamie Vardy
 
Lazima utumie akili za kawaida tu, Chelsea ni sawa na Man city au Azam hapa bongo
Haina na haijawahi kuwa na mashabiki wa kweli especially huku Tanzania,wengi ni wale walioletwa na upepo wa kisulisuli kutoka katika timu mbalimbali walizokuwa wanashabikia baada kupitia kipindi kigumu mfano Liverpool,Man utd na Arsenal vishabiki vya chelsea vingi ni vitoto visivyokuwa na uvumilivu na vinafki, yaani sawa na mwanamke anayeishi na mwanaume kutokana na pesa na pindi mwanaume anapochalala vinatafuta dume lingine,
Usaliti haujawahi kumuacha mtu salama,

Aliyekuwa shabiki wa Chelsea kabla ya Mourinho ajitokeze hapa

Haka katimu kakipotea kila nguchiro atarudi katika kichaka chake

Naipenda Chelsea toka 1995, aliyesababisha niipende ni Ruud Gullit, nilikuwa namkubali sana huyu Mdachi, nilihama naye toka Sampdoria

Tatizo mkiwa hamjui kitu mnadhani hakipo. Nipo Chelsea toka 1995, nilikuwa nampenda sana Ruud Gullit, usajili wake toka Sampdoria ndio ulinileta darajani. Kingine kilicho nivutia ni uwepo wa weusi wengi na soka la burudani, miaka hiyo timu ilikuwa inachexa soka la kuburudisha japo halikuwa na mafanikio ya kujivunia, tulianza kuonja raha ya mataji nyakati za kocha Gullit na msaidizi wake "kocha mchezaji" Gianluca Viari
 
Tuache unafiki, nyie si ndio kila siku mnasema Jor kama hawezi kucheza pembeni auzwe!!! Kuhusu benchi nadhani hii kila siku nasema humu Lampard ana Uingereza mno na ndicho kitakacho muharibia. Kumbuka ile penalti alimzingua Drogba akaenda kupiga yy wakati Drogba alikuwa kwenye bio za kuwania kiatu cha dhahabu. Alifanya hivyo sababu ya Uingereza ili rooney achukue kile kiatu lakin bahati nzuri haikuwa hivyo.
Punguza kiherehere mkuu

LAMPARD alikuambia haya unayosema?
 
UNBELIEVABLE SKILL

In this flashback, Kurt Zouma shows the tackle of the season.
Chelsea are winning 3-2 against Crystal Palace. In the 95th minute, Christian Benteke is through on goal and on the verge of scoring. Out of nowhere comes Kurt Zouma to make the tackle of the season.
Pure class 👏👏
 
Team of the week 34

Goalkeepers

  1. Ben Foster
  2. Emiliano Martinez
Defenders
  1. Cesar Azpilicueta
  2. Serge Aurier
  3. Kyle Walker
Midfielders
  1. Bruno Fernandes
  2. Willian
  3. Kevin De Bruyne
  4. Michail Antonio
Forwards
  1. Harry Kane
  2. Jamie Vardy
Kama hayupo Auba hiyo ni batili
 
Naipenda Chelsea toka 1995, aliyesababisha niipende ni Ruud Gullit, nilikuwa namkubali sana huyu Mdachi, nilihama naye toka Sampdoria

Tatizo mkiwa hamjui kitu mnadhani hakipo. Nipo Chelsea toka 1995, nilikuwa nampenda sana Ruud Gullit, usajili wake toka Sampdoria ndio ulinileta darajani. Kingine kilicho nivutia ni uwepo wa weusi wengi na soka la burudani, miaka hiyo timu ilikuwa inachexa soka la kuburudisha japo halikuwa na mafanikio ya kujivunia, tulianza kuonja raha ya mataji nyakati za kocha Gullit na msaidizi wake "kocha mchezaji" Gianluca Viari
Wacha uongo wewe taja hiko kikosi cha watu weusi.....umetoka zako wikipedia huko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom