Gpili
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,179
- 2,084
Pale Chelsea sijaona mchezaji wa kucheza ktk first Eleven ya yetu zaidi ya pulisic tu anaweza kuwa back up ya FordAwe Blackwood, whitewood au red wood aje tumchome kuni hizo
Pale Chelsea sijaona mchezaji wa kucheza ktk first Eleven ya yetu zaidi ya pulisic tu anaweza kuwa back up ya FordAwe Blackwood, whitewood au red wood aje tumchome kuni hizo
siPale Chelsea sijaona mchezaji wa kucheza ktk first Eleven ya yetu zaidi ya pulisic tu anaweza kuwa back up ya Ford
Well say bro.Sababu ya kwanza, Matic na Fabregas hawapo tena Chelsea
Sababu ya pili, Kante kachezeshwa out of position kwa muda mrefu. Laiti tangu mwanzo kocha angemchezesha Kante kwenye nafasi yake, angeshapata muunganiko unaousema
Sababu ya tatu, Kante kawa majeruhi kwa muda mrefu na hivyo hiyo nafasi asingeweza mwingine, Jo anajaribu lakini anachoka mapema na akichoka ni rafu mbele kwa mbele
Sababu ya nne, Kovacic anayomadhaifu makubwa ya kutokuwa mchezeshaji na mtoaji wa assists, anaweza kumiliki mpira lakini mpira ukimtoka unakuwa too ordinary hauna madhara kwa oponents
Sababu ya tano, RLC kuwa majeruhi mwaka mzima ulizima kasi yake aliyokwisha onyesha wakati wa Sarri, angeendelea na moto ule RLC sasa hivi angekuwa ni kiungo tegemewa, karudi ni kama anaanza upya kuuzoez mpira
Kwa mfano jana kukosekana kwa Kante tu Defense inaonekana ina matobo wakati DM akiwemo mzuri defense nayo inaonekana iko effective
Uyo kazi San kuuuzwa anmktba mrfu bdo Bei yke 110 ,kunyoa mchezaji sehemu anayo uhakka wa kushinda mkombe only Madrid and Barcelona can do thatHivi ni uoga wa kufanya biashara au? Inakuwaje tunashindwa kuvunja mkataba wa hii mashine?View attachment 1501494
Pulisic......Werner.....Ziyech
Kovacic...Kante.......De Bryune
Bado kidogo tu Chelsea itageuka kuwa ya wajerumani na wale wanaowachukia Waingereza watapumuaTuko kwenye hatua za mwisho kabisa kwenye usajili wa Kai Havertz, tushamalizana na wakala wake pia Havertz anapenda zaidi kuungana na Rudiger pamoja na Werner. Suala lililo baki ni makubaliano ya Bayer na Chelsea.
Huyu jamaa ana connections zake za ndani sana ambazo medianyingine za michezo wanazikosa. Ila alifeli tu kwa Ziyech hakuwa na taarifa kabisa kaja kushtuka dili lishamalizwa.Fabrizio Romano ni mtu mbaya sana huwa najiuliza sana. Ama yuko karibu sana na wakala wa wachezaji ama wanafanya kazi kwa pamoja.
Hao wote uliorodhesha hapo na suport wauzwe lakini siyo ChristensenHata mimi naamini mabeki wawili dirisha hili lazima wanunuliwe, pesa ipo na pia tutauza wachezaji:-
1. Bakayoko
2. Alonso [emoji41]
3. Ermason
4. Batshuayi
5. Barkely [emoji41]
6. Mosses
7. Zouma/Christensen
8. Joginho [emoji41]
Yupo jorginho.Engine room yetu inazidi kupata hitilafu View attachment 1502217
Kwa uchezaji ganiEngine room yetu inazidi kupata hitilafu View attachment 1502217
We kitoboWe kweli kipele.