Ni kweli mashabiki wengi wa Chelsea ni wa chelsea ya Morinyo. Chelsea iliyoanza na ushindi wa makombe.
Mashabiki hawa wanaamini Chelsea ni club ya kubeba makombe kila msimu.
Roman Abromovich mwenyewe aliwekeza Chelsea na kuanza kubeba makombe na hategemei kuona ukame wa makombe.
Ndio maana anatimua makocha mara kwa mara bila kujali hasara, anamelewa makombe, mashabiki tumelewa makombe, tunajitaji mvinyo wa makombe tuendelee kuongea lugha moja.
Chelsea haiwezi kukaa miaka 10 bila kombe la EPL never labda Abromovich ang'ate godoro.