Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tuache unafiki, nyie si ndio kila siku mnasema Jor kama hawezi kucheza pembeni auzwe!!! Kuhusu benchi nadhani hii kila siku nasema humu Lampard ana Uingereza mno na ndicho kitakacho muharibia. Kumbuka ile penalti alimzingua Drogba akaenda kupiga yy wakati Drogba alikuwa kwenye bio za kuwania kiatu cha dhahabu. Alifanya hivyo sababu ya Uingereza ili rooney achukue kile kiatu lakin bahati nzuri haikuwa hivyo.
Issue za penalt huwa zinategemea na matokeo ya mda huo mbona penalt ya 2 iliyopatikana alipiga drogba

Angekuwa na uingereza kila mech tungekuwa tunaona first eleven yetu imejaa waingereza

Jinsi arteta anavyomsugulisha bench ozil na kuwapanga wale wakina willock angekuwa lampard mngesema anauingereza
 
Inaelekea nafasi ya 3 ni ya kwetu sasa
LFC hawajawahi kushinda uwanja wa Emirate mechi 12 zilizopita zote
 
Hahaa tulia mzee Chelsea ni gari la mkaa.

GGMU
Jorginho angeanza tangu mwanzo Hawa jamaa wasingepata magoal yao kirahisi ndio mjue umuhimu wa jorginho baada tu ya kuingia kila kitu kikabadilika sijui kwanini Lampard anampiga benchi huyu jamaa?
Barkley anafaa attacking roles sinui Lampard alikiwa anawaza nini. Kweli Jo angeza hata zile 2 zisingeingia
 
Chelsea beki yenu inafunguka sana, alafu DM hasaidii kulinda ukuta ipasavyo, ngoja mkutane na Man Utd FA Cup jinsi beki yenu inavyokatika mtawatafuta ubaya Bruno,Rashford+GreenWood
Acha kutupigia kelele ..iyo man u unaona ni timu ya kuleta ushindani wowote. Linapokuja suala la kombe mbele yetu huwa hatuna cha man u wala takataka yeyote ile..

Tulia ivyo ivyo..
 
Jorginho angeanza tangu mwanzo Hawa jamaa wasingepata magoal yao kirahisi ndio mjue umuhimu wa jorginho baada tu ya kuingia kila kitu kikabadilika sijui kwanini Lampard anampiga benchi huyu jamaa?
Joghihno kaleta impact ndogo sana sema imesaidia ..angalia walivyotukosa mpaka mabesela ..tuseme tu hii game ilikuwa upande wetu

#CFC[emoji170][emoji170]
 
Acha kutupigia kelele ..iyo man u unaona ni timu ya kuleta ushindani wowote. Linapokuja suala la kombe mbele yetu huwa hatuna cha man u wala takataka yeyote ile..

Tulia ivyo ivyo..
Hahaaaa maneno yako yanaonesha wazi kuwa unaiogopa Man Utd, na kwa hii beki yako Greenwood atapiga hat trick siku hiyo.
 
Acha kutetea upuuzi, game la leo limekua gumu sababu ya ubaguzi wake. Jog hakutakiwa kuanzia benchi! Mambo gani haya naangalia gemu nimebana mapu. mbu mpk sahiz pu. mbu zote zinauma.

Ile penalt y pili aliona noma tu kumkatalia drogba, ila lengo lake ilikua rooney ndio achukue kiatu.
Ubaguzi upi? Mbona hali imekuwa ngumu baada ya Joginho kuingia?
Alafu ubaguzi wake uko wapi?

Kepa
Christensen
Zouma
Azpillicueta
James Reece( Mwingereza)
Gilmour (Mwingereza)
Mount (Mwingereza)
Barkley ( Mwingereza)
Pulisic
Willian
Giroud

Waingereza wanne kuanza kwenye ligi ya Uingereza ndo ubaguzi?

Badala ya Mount ulitaka aanzishwe nani?
Badala ya Barkley nani alipaswa kuanza?
Badala ya Girmour ulitaka acheze nani?

Angalia performance yao mechi hizi 3 alafu useme ni nani amedisappoint katika mechi hizo?
Mechi iliyopita Mount man of the match, Barkley kafunga mechi iliyopita, Kante ameumia, Kovacic ameumia; nani areplace hao waingereza?
 
Hiv mnaongea nn nyie watu.!!! Inamaana mmesahau dakika 10 kabla ya mchezo kuisha tulivyo shambuliwa na huyo Jo alikuwepo, acheni ushabiki maandazi
Mzee Hawa jamaa walituwin kwasababu dogo gilmour alishindwa kucontrol mpira Kati ndio maana jamaa waliapata upenyo wa kutushambulia lakini Kama jorginho angeanza tangia mwanzo mpira Mara nyingi ungekuwa kwetu so why nimeongea hivyo.
 
Joghihno kaleta impact ndogo sana sema imesaidia ..angalia walivyotukosa mpaka mabesela ..tuseme tu hii game ilikuwa upande wetu

#CFC[emoji170][emoji170]
Hao jamaa walipata nguvu kwa baada ya kuruhusu magoal rahisi lakini mwanzo kabisa game ilikuwa yet sema Ni kwamba dogo gilmour alizingua kwa kashindwa kucontrol game katikati lakini kutuliza temple ya mchezo dhidi ya upinzani hii ndio ikawapa team pinzani mwanya lakini Kama jorginho angeanza tokea mwanza game ingekuwa yetu kutokana na ubora wa jorginho wa kucalm pressure ya team pinzani lakini pia ubora wake wa kucontrol game tusingeweza kuruhusu magoal ya kijinga Kama yale.
 
Joghihno kaleta impact ndogo sana sema imesaidia ..angalia walivyotukosa mpaka mabesela ..tuseme tu hii game ilikuwa upande wetu

#CFC[emoji170][emoji170]
Ollachuga wewe ulikuwa unaangalia mpira gani, tangu Chelsea wafungwe goli la kwanza nilikuwa nabana miguu tu hadi alipoingia Jo ndio tukapumua, japo Palace waliendelea kutushambulia lakini at least katikati kulitulia. We angalia replay ya goli la kwanza la palace, katika hakukuwa na kiungo yeyote. Hata timu ya watoto wa darasa la kwanza hawafanyi hivyo. Angekuwepo Kante hapo huo upuuzi usingekuwepo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom