Lazima utumie akili za kawaida tu, Chelsea ni sawa na Man city au Azam hapa bongo[emoji23][emoji23]
Haina na haijawahi kuwa na mashabiki wa kweli especially huku Tanzania,wengi ni wale walioletwa na upepo wa kisulisuli kutoka katika timu mbalimbali walizokuwa wanashabikia baada kupitia kipindi kigumu mfano Liverpool,Man utd na Arsenal[emoji41] vishabiki vya chelsea vingi ni vitoto visivyokuwa na uvumilivu na vinafki, yaani sawa na mwanamke anayeishi na mwanaume kutokana na pesa na pindi mwanaume anapochalala vinatafuta dume lingine,
Usaliti haujawahi kumuacha mtu salama,
Aliyekuwa shabiki wa Chelsea kabla ya Mourinho ajitokeze hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haka katimu kakipotea kila nguchiro atarudi katika kichaka chake[emoji41][emoji851]