Gpili
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,179
- 2,084
Huyu kipa amuezi hata kindokiHapa Kante angezima hili shambulio, viungo walijisau View attachment 1500574


Huyu kipa amuezi hata kindokiHapa Kante angezima hili shambulio, viungo walijisau View attachment 1500574


Cash Money Forever Overall Lampard Ni kocha mzuri baadhi ya game anajua kumsoma mpinzani na kuja na mbinu sahihi mfano mzuri game na man City tulioshinda 2,game dhidi ya Tottenham Tumepata 6 point na approch ya game alikuja kitofauti,game dhidi ya Arsenal n.kIla wazee huwa tunatumia muda mrefu kujadili wachezaji lakini tunapuuzia kumjadili Lampard:-
mbinu zake
formation zake
ubunifu
sub zake
maono yake na
urafiki na wachezaji nje ya uwanja.
Kwa muda tuliokuwa na Lampard mpaka sasa tunaiona wapi timu yetu misimu miwili mitatu ijayo?
Najua mtasema ni mapema kumjadili Lampard lakini mkae mkijua lazima pia tumfahamu kocha wetu ndani ya Chelsea.
Jamaa utafikiri upo kwenye board ya Chelsea, wasipotaka wenye timu yao wewe utapiga kelele tu huku middle income country.

hamna kitu hapo mkuu, yupo igurusi huko anamtimua kocha aliye LondonKepa ni level za kina kindoki basi nyota imemuakiaWe nyumbu endelea kuchekacheka tu dawa yako iko jikoni

Huyo ni John boko aliyechangamkaKitendo cha Abraham kufunga jana ndio atakoleza moto wa kudai mshahara mpya 130k


Angekuwa kocha mwingine, timu iko kwenye ban, Hazard kaondoka tusingekuwa top six nakuambiaCash Money Forever Overall Lampard Ni kocha mzuri baadhi ya game anajua kumsoma mpinzani na kuja na mbinu sahihi mfano mzuri game na man City tulioshinda 2,game dhidi ya Tottenham Tumepata 6 point na approch ya game alikuja kitofauti,game dhidi ya Arsenal n.k
Hii team ingekuwa inafundishwa na Mourinho au ole nakumbuka hatuku sajili + majeruhi ya Mara kwa Mara ya yaliotukuta wachezaji wetu muhimu tungekuwa tunashika nafasi ya 9-12 Hadi sasa
Ubora wa Lampard
1.Management
Anajua kumanage team na kupata kilichobora kwa mchezaji pale alipokosa penalty Abraham super cup Dhidi ya Liverpool ingekuwa kocha Kama Mourinho Abraham asingepata Nafasi tena lakini bado Lampard aliweka matumaini kwake na Leo Abraham ana goals 14 na kiasi fulani magoal yake yamesaidia mpaka tupo kwenye nafasi hii.
Kuna wakati tuliwakosa rudiger,Kante, Kovacic na jorginho kwa wakati mmoja na still tuliweza kupata matokea na hakuwahi kulalamika kuhusu majeruhi Kama anavyofanya Mourinho badala yake atawapa nafasi waliobaki na hii imesaidia wachezaji kujitoa Sana.
Lampard anaishi na wachezaji Kama marafiki zake ndo maana ujawahi kusikia Kuna ugomvi wowote hata katika kipindi tuliokuwa tunapata matokea mabaya.
Udhaifu wake
1.favouritism
Pamoja na ubora mkubwa lakini ana hii changamoto unaweza ukakuta Willian kachoka badala ya kumuingiza Pedro atamwingiza bishoo odoi na alikuwa anampenda Sana Abraham hata pale ambao hayupo inform still alikuwa anampanga instead ya Giroud.
lembu
Southern Highland
Papaa Gx
LONDON IS BLUE
mart66
Mi shabiki wa Chelsea tangu Gianluca viali mocha,Ranieri amenikuta ChelseaBro jisemee wewe kutokana umri wako au upeo wako! Ila wengine tumeanza kushabikia Chelsea kitambo na tuna sababu zetu na hatujawah ongea Kama hvi... Me nmeanza na Chelsea ya Ranieri 2002/2003 ndo najielewa naanza kuipenda Chelsea Ila 2004 ndo nkazidi ipenda Mourinho anakuja pamoja na drogba so ukisema b4 Mourinho hamna alikuwa shabiki unakosea ko jisemee mwenywe

.Siku Abramovich anainunua Chelsea nilikua nasikiliza BBC idhaa ya Kiswahili na sikutarajia kama angewekeza mapesa mengi hivi. Chelsea wakongwe tupo sana tu.Sijakataa ila nimesema hawa wanaopiga mayowe hapa,lakini pia wikipedia zipoMi shabiki wa Chelsea tangu Gianluca viali mocha,Ranieri amenikuta Chelsea.Siku Abramovich anainunua Chelsea nilikua nasikiliza BBC idhaa ya Kiswahili na sikutarajia kama angewekeza mapesa mengi hivi. Chelsea wakongwe tupo sana tu.



Wewe Ni jinsia ya kike au kiume?Mi shabiki wa Chelsea tangu Gianluca viali mocha,Ranieri amenikuta Chelsea.Siku Abramovich anainunua Chelsea nilikua nasikiliza BBC idhaa ya Kiswahili na sikutarajia kama angewekeza mapesa mengi hivi. Chelsea wakongwe tupo sana tu.
Angekuwa kocha mwingine, timu iko kwenye ban, Hazard kaondoka tusingekuwa top six nakuambia
Timu haina wafungaji wa maana lakini ndio timu ya tatu kwa kufunga magoli mengi
Timu haina 1st eleven lakini tupo nafasi ya tatu na bado kuna mashabiki wanamkandia na kumtukana
Lampard ni Genius coach EPL hata PEP hatamkuta akipewa muda kama miaka 3 au 4


🥃Acha kumfananisha John boko na kanyela umo umo Ni kumvunjia heshima John bokoHuyo ni John boko aliyechangamka![]()
Boko Ni better by far than AbrahamKwamba bishoo ama takataka Abraham aiingii kwa boko?
I wabongo wengi ndo tupo ivo we angalia ata man u saiz anashinda sifa Kama zote ngoja afungwe watu wanasahauNaunga mkono hoja. Ukikuta shabiki au mashabiki wanaomponda Lamp ujue wamebeti au amebeti then wameliwa🥃
Tuliza kipere mama
hamna kitu hapo mkuu, yupo igurusi huko anamtimua kocha aliye London
Wewe Ni jinsia ya kike au kiume?



,kiume chief naona picha hiyo imekuvuruga.farb alikua level kubwa sana ngumu sana kumpata kiungo aina ya farb Man untd wanesuffer same consequences kbla hajaja bruno now wako stable coz Bruno ankuoffer more than other middlesKuhusu LAMPARD binafsi nimeshindwa kutenganisha madhaifu ya mbinu za kocha na aina ya uchezaji wa wachezaji tulionao.
Kwa mfano tangu Lampard atue Chelsea katika eneo ameshindwa kuliorganize ni viungo wa timu.
Ukiangalia kwa makini Chelsea pale katikati kama kuna kamuunganiko, kambinu, kaubunifu flani kanakosekana nyumambele.
Njia panda yangu inapokuja kwamba kwa idadi ya viungo wengi tulionao ni kocha ameshindwa kuwapanga na kuwatumia au hawa viungo tulionao viwango vyao ni duni kutekeleza maelekezo ya kocha.
Badala ya deliver 90% au 100% ya maelekezo ya mwalimu, wao wanadeliver 50%
Najaribu kuvuta picha kile kiungo cha:-
Matic - Kante - Fabrigas
Mbona hichi kiungo kilikuwa very organized na stable kuliko kiungo cha sasa hivi.
Au Kovacic, Jognho, Barkely, mount hawajafikia ubunifu wa matic, na Fab au Lampard ndio ameshindwa kuwaorganize hawa jamaa na kupelekea hapo katikati kuwa dhaifu?
Jana waingereza alikuwaKwahiyo unataka kusema asilimia kubwa ya 1st eleven sio Uingereza??