OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Hahaha angalia ubao unasoma ngap ukoo...Ivi giroud yupo? Mnatia huruma saana
CFC


Hahaha angalia ubao unasoma ngap ukoo...Ivi giroud yupo? Mnatia huruma saana


Nikimuona hapa shabiki wa manyumbu au Arsenal nitamvunja mguu
Hongereni saana wana chelshit. Although mmebahatishaOya Numbisa ..second goal apo
Kabahatisha kivipi? wakati on target Chelsea ana 7 man City ana 3 off Target Chelsea ana 5 wakati man city ana 4 Lampard akutaka kupossess game ya kwanza aliongoza kwa kupossess kwa 55% lakini akafungwa 2 kwa 1 ndo maana game ya leo kubadilika.Hongereni saana wana chelshit. Although mmebahatisha
Aliucheza mpira tena kistaarabu, na ndio maana VAR wamereview na kutupilia mbali red cardRudiger alistahili red card
Ile ilikuwa ni adha kubwa na leo tumewalipa LiverpoolShukrani sana Liverpool kupewa ubingwa na Chelsea, imenikumbusha zama za Stiven Gerrad alivyojiangushaga afu Dembaba akafumania nyavu za Liverpool na Blues kuwa Mabingwa ilimradi tu Mwantesa United asiwe Bingwa wa EPL
Chama langu kwenye game za maamuz huwa linakua noma sanaShukrani sana Liverpool kupewa ubingwa na Chelsea, imenikumbusha zama za Stiven Gerrad alivyojiangushaga afu Dembaba akafumania nyavu za Liverpool na Blues kuwa Mabingwa ilimradi tu Mwantesa United asiwe Bingwa wa EPL
Chelsea siyo kama watia aibu wa LondonNawakumbusha, turubai la msiba bado liko London.
Ni either libaki kwa majirani au lije kwenu.
Daah masikini mpaka hurumaLEO LAMPARD ASIDHUBUTU KUMUANZISHA MZIGO JOGINHO KAMA DM TUTAFUNGWA VIZURI KABISA.
PALE KATI ACHEZE KANTE AWALINDE YALE MATAKATAKA KULE NYUMA:- (RUDGER, JAMES, TOMORI, ALONSO, EMARSON, AZIPU, CHRISTENSEN, ZOUMA)
TIMU KATIKATI KWENDA MBELE INACHEZA VIZURI, MPIRA UKIFIKA MBELE UNAKUTANA NA MATAKATAKA MENGINE:- (ABRAHAM, GIROUD, BATSHAUAYI)
LAZIMA TUFUNGWE NA MANCHESTER CITY, HATUNA UJANJA WA KUMFUNGA MPIRA WAO MKUBWA, MAZUMBUKUKUU TWENDE TUKAFUNDISHWE SOCCER.
Ulikua unaangalia mpira au ? Kwa tukio gani mpaka apewe kadiRudiger alistahili red card
Andreas Christensen vs Man City:
Rating: 8.1Sema wakuu Pulisic mtu na nusu asee. Siyo kwa mpela mpela ule aliowapa Man City. Asipopata injury anakua mtu hatari sana
Christian Pulisic vs Man City:
Rating: 7.3