Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mason Mount vs Manchester City:

- 26/31 accurate passes
- 5 recoveries
- 100% tackles completion
- Most distance covered by any Chelsea player

An assured performance by the youngster, at just 21, Mason Mount played a very mature game against the reigning champions.
 
Nimpongeze Lampard kwa kuja na mbinu kabambe ya kuua mtu Lampard ameona mbali game ya kwanza tuliongoza possession dhidi ya man city lakini tulifungwa 2 kwa 1 ila Leo akabadilika Sana naona kabisa nafasi ya 3 Ni yetu kabisa.Mwakani mtatukoma wapinzani wetu.
Possession haijalishi kwenye football. Whatr matter is game plan, Leo kaja na game plan nzuri, mashambulizi mengi, shot accuracy kubwa na kuwasababishia wafanye makosa na wamefanya nyingi tu
 
Sisi ndio wababe tulimpa ubingwa Leicester city na sasa tumempa Liverpool, Liverpool mnatakiwa mtuheshimu Sana.Mwisho kabisa nimpongeze Lampard kaja na style ya kumfunga city ambayo atukutegemea wengi Kama atakuja na hiyo mbinu Don Clericuzio
#Viva Chelsea

Tunashukuru kwa ninyi kuuwahisha, lakini si kwamba kuna heshima yoyote ya ajabu mnayostahili kwa ubingwa huu wa Liverpool.

Mmeuwahisha na si kwamba mmetupa.
 
2nd goal. Willian
1593144301857.gif
 
Shukrani sana Liverpool kupewa ubingwa na Chelsea, imenikumbusha zama za Stiven Gerrad alivyojiangushaga afu Dembaba akafumania nyavu za Liverpool na Blues kuwa Mabingwa ilimradi tu Mwantesa United asiwe Bingwa wa EPL
Msimu ule 2013/2014 hatukua mabingwa ,

Bingwa alikua man city , na walikua wanakimbizana sana na liverpool ya suarez & sturridge..

Sema msimu wa 2009/2010 , Gerrard alitufanyia uungwana sana baada ya kumpa Drogba pasi ya goli, na Drogba akafanya kweli tukashinda 2-0..
NB: msimu ule man u walikua na makombe 18 tayari na liverpool 18, Gerrard akaona kuliko man u apate kombe la 19 ni bora atuzawadie chelsea, na sie jana tumewalipa wema wao
 
We timu gani kwanza?
Ile haijabahatishwa,yale mashuti mpira ulivyokuwa unazuiwa kwenye mstari wa goli hujaona,mwishoni jamaa alipozidiwa hadi akaona awe kipa wa emergence
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom