Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,341
Mkuu mi ni chelsea
We timu gani kwanza?
We timu gani kwanza?
kubahatisha kivip ,au kisa Ball possessionMkuu mi ni chelsea
Asante kunikumbusha muda sahihi, nakumbuka tulishinda 2-0 dhidi ya Liverpool chini ya Villas Angila Boas na Brendan Roggers.Msimu ule 2013/2014 hatukua mabingwa ,
Bingwa alikua man city , na walikua wanakimbizana sana na liverpool ya suarez & sturridge..
Sema msimu wa 2009/2010 , Gerrard alitufanyia uungwana sana baada ya kumpa Drogba pasi ya goli, na Drogba akafanya kweli tukashinda 2-0..
NB: msimu ule man u walikua na makombe 18 tayari na liverpool 18, Gerrard akaona kuliko man u apate kombe la 19 ni bora atuzawadie chelsea, na sie jana tumewalipa wema wao
kubahatisha kivip ,au kisa Ball possession
Kila game ina plan yake aangalia shots on target Nan kpga nyng unawz ukaw una miliki mpira sana lkn hufungi
So ilkuw t game plan city acheze anvotka blues wa attack kwa kuvizia
tunahitaji pia goalkeeperHONGERENI SANA WANA BLUES.
Jana Lampard ameingia kimbinu zaidi. Tungecheza kumiliki ball position tungewapa advantage city.
3 points safi. Wachezaji walicheza kwa kujituma. Bado tunahitaji LB mwenye ubunifu wa kukaba na kasi ya kupanda juu kushambulia.
KANTE what a player
PULISIC what a player
Liverpool mna kiburi sana
Jana kushinda kwenu naona mnaanza kujipendekeza eti mmetupa ubingwa!
Kana kwamba tulikuwa tunazuilika!
Hatuwezi kujipendekeza maana kama ni mafanikio ndani ya miaka 30 tunayo zaidi yenu
Kepa jana alikua na tatizo gani?tunahitaji pia goalkeeper
Kwa upnde wangu sijaon kosa loloteKepa jana alikua na tatizo gani?
Kweli kabisa unajua sisi fans ndio tunachangia sana kushusha viwango vya wachezaji wetu. Huyu Kepa kuna kipindi aliwaka sana watu wakamsifia sana ila alishuka kidogo watu wakamjia juu. Ni haki yetu kulalamika ila isiwe too much kuwafanya wawe dissappointed.Kwa upnde wangu sijaon kosa lolote
Gori alilofungwa mpira ulpigwa sehem ambayo ngumu kuufkia thou Angela's katkat zaid lbda angefny chocht
But his performance was gud two saves
Iyogame na Spurs nakumbuka tulitoka draw ya 2-2 Leicester akatangaza ubingwa..


Chelsea ni timu ya ajabu sana, tusipochukua ubingwa tunaamua nani achukue. Safi sanaSisi ndio wababe tulimpa ubingwa Leicester city na sasa tumempa Liverpool, Liverpool mnatakiwa mtuheshimu Sana.Mwisho kabisa nimpongeze Lampard kaja na style ya kumfunga city ambayo atukutegemea wengi Kama atakuja na hiyo mbinu Don Clericuzio
#Viva Chelsea
Kuna shuti moja alizuia mpaka akazimia kama dk moja hiviAndreas Christensen vs Man City:
90 minutes played
3 clearances
1 blocked shots
1 interception
4 tackles
5/6 ground duels won
2/2 aerials won
58 touches
93.3% pass accuracy
1 big chance created
100% dribble completion [2/2]
Rating: 8.1
#CHEMCI
Hata kama mngechukua ubingwa hapo mbeleni lakini kwa ubingwa wa jana tuliwapa mkiwa getto, kubali tu yaisheJana kushinda kwenu naona mnaanza kujipendekeza eti mmetupa ubingwa!
Kana kwamba tulikuwa tunazuilika!
Kepa tangu akalishwe benchi kabadilika sana, kwa maoni yangu hakuna tena silly mistakes anazofanya. Lile goli na Aston Villa ilikuwa ni makosa ya defense, lile shuti la De Bruyne hakuna kipa angeweza kugusa huo mpiraKEPA tumsajilie kwanza mabeki wazuri then tumjudge ubora wake.
Hata kama mngechukua ubingwa hapo mbeleni lakini kwa ubingwa wa jana tuliwapa mkiwa getto, kubali tu yaishe
Mimi sijui kwa nini Lampard hamuazishi huyu dogo Bill, jana katoa pasi iliyoenda shule ambayo hakuna mchezaji wa Chelsea anifikia isipokuwa ni Fabregas tuCha muhimu kuliko vyote huyu dogo mkataba wake uboreshwe. Kiongezwe kipengele "kuvunja mkataba wake iwe €1billion endapo kuna timu itakayomuhitaji".
Jana zile pass ndefu za dogo nilizisisimua mwili, tumemshapata Fabrigas wetu mpya.
Pulisic....Werner....Ziyech
Kovacic...Kante...Glimour
Nachokiona msimu ujao Lampard atabadilisha kidogo aina ya uchezaji, nadhani litakuwa soka la counter attack.
1. Pulisic ana kasi
2. Ziyech ana kasi
3. Werner ana kasi na ndio magoli anayopenda kufunga, kuingia kwa kasi lango la adui.
Sioni tena lile soka la kupiga pass fupi fupi mpaka kwenye 18 ya adui.
View attachment 1489358