Vip Ni nzuri na haisumbui sumbui? lembuPlay store
Voda wanajitahidi ila ubaya gharama zao tu.Nipeni mtandao upi mzuri kwa ajili ya kustream mpira live bila kugoma au kusumbua? Cash Money Forever Southern Highland lembu Ollachuga Oc
Karibu sanaHahhahaha narudi kuzileta mkuu
Mimi huwa natumia total sportek kwenye browser then ikifunguka nachagua link.Simaanishi mtandao wa mawasiliano namaanisha mtandao au app ya kuangalia mpira live lembu
️
CONFIRMED: The Bayer Leverkusen has received 2 offers for the German Kai Havertz (21): Kutakua na ushindani mkubwa wa namba kitu ambacho ni kizuri zaidi. Mount na RLC inabidi wajiandae sana.Kai mwenyewe anapenda kwenda Chelsea. Amini kuwa Kai atatua Chelsea msimu ujao.
Ninacho amini mimi Lampard ni genious sana. Yeye na bench lake wanajua nini wanafanya. Kwakua muda wa kusajili hatuwezi jua yeye na genge lake wanafikiria kitu gani. Pengine tukionacho naamini Lamps anakiona kwa jicho lingineHata tukisajili Messi + Ronaldo + Mbappe kama kule nyuma tutaendelea kuwa na mabeki tulionao sasa ubingwa tusahau.
Tunapigiwa mpira mmoja tuu cross ndanii what a shame
Safu ya ulinzi inatakiwa iimarishwe kwa kiwango kikubwa sana. Nashangaa sioni tetesi za kumsajili CB.
Chilwell akija bila new CB itakuwa ni kazi bure.
Pep anakuja kuwanyoosha goli 6 tenaKesho tuna city inabidi tukaze sana aisee
Inamaana msimu ujao watakuwepo? Cash Money Forever
Ni aibu kwa Chelsea kama club kubwa duniani kutokuwa na top rated CB.
1. Virgil van Dijk (Liverpool)
2. Kalidou Koulibaly (Napoli)
3. Gerard Pique (Barcelona)
4. Raphael Varane (Real Madrid)
5. Aymeric Laporte (Manchester City)
6. Sergio Ramos (Real Madrid)
7. Milan Skriniar (Inter Milan)
8. Jan Vertonghen (Tottenham Hotspur)
9. Harry Maguire (Manchester United)
10. Toby Alderweireld (Tottenham Hotspur)
Hizo ni concepts tu hazina maana ndio tutavaa msimu ujao. Jezi official huwa wanatumia wachezaji kuzitangazaJe Hizi ndo jezi tutakazotumia msimu ujao?View attachment 1487741View attachment 1487744View attachment 1487745View attachment 1487747
Sio sheria ya uefa ndio imetumika?Hapana wamerufusha mikataba yao kumalizia msimu huu kwa mechi zilizobaki, kumbuka janga la CORONA limesogeza msimu mbele na mikataba yao ilikuwa inaisha mwezi huu wa 6.
Wameongeza mpaka mwezi wa 8 msimu utakapokamilika
Sent using Fly in any Weather.
Lazima hiyo front iwe adjusted ili Pulisic achezeWerner anapendelea zaidi kushambulia kutokea kushoto. Pia acheze pamoja na STRIKER
WERNER.....TAMMY.......ZIYECH
Nawakumbusha, turubai la msiba bado liko London.
Ni either libaki kwa majirani au lije kwenu.