Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Leo Liverpool wanatangazwa mabingwa wa England baada ya takriban miaka 30 bila ubingwa huo.
Kuna watu wanashabikia hiyo timu lakini hawajawahi kuona ikibeba hilo kombe,Mungu ni mkubwa sana.....
 
1st goal. Pulisic
1593115589043.gif
 
Tukishinda leo tutakuwa na confidence alafu Lampard atawa prove wengi wrong..

Viva Chelsea

CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Tukishinda leo tutakuwa na confidence alafu Lampard atawa prove wengi wrong..

Viva Chelsea

CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Bila kusahau mtakuwa mmewapa vijana wangu ubingwa wakiwa hotelini wanakunywa wine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom