lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,380
- 25,482
bado goli la Giroud na Willian
1st goal. PulisicView attachment 1488967
1st goal. PulisicView attachment 1488967
Don Clericuzio kaamia LFC lini?
Labda itokee tu yani. Tumeuanza mwendo. Tumerudi kazini...Msimu ujao na nyie mtawapa vijana wetu ubingwa mapema
Sent using Fly in any Weather.
Wewe acha kucheza mpira wa kuunga unga. Hebu shambulien mnaharibu mpira kwa kupaki kwenu basi.Tukishinda leo tutakuwa na confidence alafu Lampard atawa prove wengi wrong..
Viva Chelsea
CFC![]()
Kwa sisi Anfield... hako kamoja kanatosha. Hata mkitoka droo pia sio mbaya kiviiilebado goli la Giroud na Willian
Angalia mpira vizuri apo ...la pili tunatandika mda tuWewe acha kucheza mpira wa kuunga unga. Hebu shambulien mnaharibu mpira kwa kupaki kwenu basi.
Sisi tulimpa Leicester ubingwa msimu uliofata tukaurudisha ..ivyo jiandaeni kwanzaBila kusahau mtakuwa mmewapa vijana wangu ubingwa wakiwa hotelini wanakunywa wine
Angalia mpira vizuri apo ...la pili tunatandika mda tu
Yani chelsea umo ndan wanaojua ni wawili tuu kante na pulisic...Haya sasa giroud out ameingia shabaransi
Nikimuona hapa shabiki wa manyumbu au Arsenal nitamvunja mguu
Loh
KwaniniNikimuona hapa shabiki wa manyumbu au Arsenal nitamvunja mguu
Shabiki wa man united kamwe hawezi hata kuisifia liverpool..Muda tu, sasa hivi kila mmoja anatakiwa kujiunga Liverpool FC.
Nani anapenda shida wakati raha zipo?