Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sio kweli msimu wa AVB, chelsea tulimaliza nafasi ya 6 nyuma ya newcastle.

Ila tulibeba Uefa champions league pamoja na FA cup.

Msimu ambao najua tulimaliza nafasi za chini ni msimu wa mourinho, alioumalizia Guus Hiddink
AVB hakuwahi kuchukua UEFA na Chelsea
 
Mzee usiwe mshabiki maandazi Kama yule London is blue nakuheshimu Sana ila leo umeteleza kuwa mwelewa hiv inaweza kumweka kante au Kovacic bench kisa gilmour? Mfumo wa leo unamfevour Sana kante leo ndio utamuona yule kante wa Conte kaweka solid Sana pale Kati alafu free role kampa RLC so Leo kante atastick katikati pekee na kulinda mabeki.
lembu Cash Money Forever
Wee nawe ni mbuzi tu, huwezi kutoa maoni mbadala bila kutukana
 
Giroud alipewa nafasi akafunga, nafikiri ana deserve over Tammy na pia yuko fit. RLC mechi iliyopita kafunga magoli 2 na yuko fit.
James nafasi yake ina ushindani. It's hard to bench captain kwa sasa. Ila natumain watapewa some air time kulingana na namna mechi itakavyo kuwa.
Mwisho wa siku kinachotakiwa ni matokeo, Giroud na Pulisic wameonyesha kuwa wanadeserver kupewa muda zaidi
 
Tumeshinda ila hapana, tukicheza na bayarn then wachezaji ni hao akina barkley na RLC, tutaoga magoli, Hiv Lampard,Glimor hiv hamuoni? kocha kiazi.
girmour kuchez epl itkua mara chache awez kutumk kma wew unvotaka
Yule atkua anchez fa kule mechi zolizo Baki ni ngum league iko mwshon kla tmu untka point
 
Usajili wa mabeki ni must hilo halina majadala. Kwa sasa timu ina beki ya ovyo sana.



Sent using Fly in any Weather.
Nilishakuambia central back inatiwa iwe priority kwa Chelsea.Mzee si nilikuambia mfumo wa leo ni rafiki kwa kante umeona alivyokichafua?Hiyo ndio position halisi ya kante Sio kumchezesha mbele nazani Lampard atarudia Tena kumchezesha kante mbele Cash Money Forever
 
Katika point 48 tulizo nazo tuna uwezo wa kufikisha 63 ambazo Man U na Wolve hawataweza kuzifikisha
  1. Chelsea tuna pts 48 ktk mechi 29, Zimebaki mechi 9, mechi za uhakika za kushinda ni 4, draw 3 projected total points = 63
  2. Man U wana pts 46 ktk mechi 30, Zimebaki mechi 8, mechi za uhakika za kushinda ni 3, draw 3 projected total points = 58
  3. Wolve wana pts 46 ktk mechi 30, Zimebaki mechi 8, mechi za uhakika za kushinda ni 3, draw 4 projected total points = 59
  4. Shefield U wana pts 44 ktk mechi 29, Zimebaki mechi 9, mechi za uhakika za kushinda ni 2, draw 5 projected total points = 55
Lampard ampe muda wa kutosha Bill Gilmour na kule mbele asimuache RLC, Mount na Willian, Giroud na Tammy wapokezane, akianza huyu akaboa apokee mwenzake nk
Ktk mechi 9 nilibashiri tutashinda 4, droo 3 na kufungwa 2
Tumeshinda moja na point 3 muhimu kuelekea point 63
Lecester city wasipokaa chonjo tutawapita kwenye nafasi ya 3
 
Nilikuwa kwenye kikao, nilipata dk 10 za mwisho kwa hiyo mpaka niangalie replay leo au kesho
Si nilikuambia mzee mfumo wa leo ndio namna ambavyo kante alitakiwa acheze nazani Lampard amejifunza kitu so why huyo gilmour akawekwa benchi na jorginho.Leo kante kachezeshwa number 6 ila wangepangwa gilmour au jorginho kante asingecheza Leo number 6 Bali angechezeshwa mbele lembu Cash Money Forever
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom