mart66
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 610
- 691
havertz sidhani kma atasajiliwaTunamhitaji havertz na cb then tumutimue L8
Kwa upande wangu bora asajiliwe cb mmoj na lb mmoj
havertz sidhani kma atasajiliwaTunamhitaji havertz na cb then tumutimue L8
Hii formation inaifanya timu kuwa solid na rahisi kwenye kujenga mashambulizi sijui kwa nini Lampard hatumii mara kwa mara hii formationTwende na 3-4-3, Alonso atakuwa mkombozi wetu
Sent using Fly in any Weather.
Giroud alipewa nafasi akafunga, nafikiri ana deserve over Tammy na pia yuko fit. RLC mechi iliyopita kafunga magoli 2 na yuko fit.Tammy hayupo, Reece hayupo
RLC ndani na GiroudView attachment 1485285
Mkuu katikati kuna ushindani sana. Kati ya Joginho, Kante, RLC, Gilmour, Kovacic, Mount(though ana advantage ya kuwa wide player), Pulisic naye pia. Kwa na hapo Ziyech bado hajaja. So kati ya hao lazima wawili wakae benchiila kumuacha Bill sinui ana plan ipi
Mzee usiwe mshabiki maandazi Kama yule London is blue nakuheshimu Sana ila leo umeteleza kuwa mwelewa hiv inaweza kumweka kante au Kovacic bench kisa gilmour? Mfumo wa leo unamfevour Sana kante leo ndio utamuona yule kante wa Conte kaweka solid Sana pale Kati alafu free role kampa RLC so Leo kante atastick katikati pekee na kulinda mabeki.ila kumuacha Bill sinui ana plan ipi
This is not Arsenal mkuu.Kamati ya maandalizi ikae tayari.
RLC na Giroud wanaweza kutolewa tuNa utashangaa anakaa dk. zote 90.
Koch msaidiz ndo kawakuza ao Mdgo yuko Chelsea kbl ya lmpardHivi huyu kocha msaidizi CV yake ikoje?