test man
JF-Expert Member
- Aug 13, 2016
- 1,014
- 970
Chelsea member vp tutoe mchango bc, majembe yasajiliwe
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
kwani chelsea leo anacheza na nani?Timo katupia huko
msmu wa Villa boss unakumbuk Chelsea anamaliza mtu wa tisa ukoHivi wadau katika historia ya Chelsea, ilishawahi kutokea timu imecheza mechi 29 tukapata point chache hivi 48? View attachment 1481507
Wakati wa MOU msimu wake wa pili baada ya kubeba ubingwa alimaliza mechi 38 akiwa na point 50 kwa hiyo mechi ya 29 lazima ilikuwa chini ya 48. Hiyo ilikuwa ni mwaka 2015/16Hivi wadau katika historia ya Chelsea, ilishawahi kutokea timu imecheza mechi 29 tukapata point chache hivi 48? View attachment 1481507
Jamaa anatufanyia kazi nzuri aendelee kutuwakilisha.David Luiz Chelsea agent apewa tena read card dk ya 49
Huyu agent msimu huu karuhusu magoli manne, namba kubwa kuliko wachezaji wote EPL
Anastahili kupewa zawadi kwani kazi yake anaifanya kwa uaminifu kule Emirate
View attachment 1481933
David Luiz Chelsea agent apewa tena read card dk ya 49
Huyu agent msimu huu karuhusu magoli manne, namba kubwa kuliko wachezaji wote EPL
Anastahili kupewa zawadi kwani kazi yake anaifanya kwa uaminifu kule Emirate
View attachment 1481933
Sio kweli msimu wa AVB, chelsea tulimaliza nafasi ya 6 nyuma ya newcastle.msmu wa Villa boss unakumbuk Chelsea anamaliza mtu wa tisa uko
Sio kweli msimu wa AVB, chelsea tulimaliza nafasi ya 6 nyuma ya newcastle.
Ila tulibeba Uefa champions league pamoja na FA cup.
Msimu ambao najua tulimaliza nafasi za chini ni msimu wa mourinho, alioumalizia Guus Hiddink
Ulikua msimu wa villa boas Di Matteo alikuja kumalizia tu mwishoniUEFA CL mulibeba na Roberto De Matteo
RLC sio attacking winger Ni kiungo mshambuliajiChelsea Squad Bado haijakaa vizuri
Goalies
Defense
- Caballero
- Kepa
- Jamie Cumming
RB
CB
- Azpi
- James
LB
- Rudiger
- Christiansen
- Zouma
- Tomori
Middle
- Alonso
- Emerson
Attacking
- Kante
- Jorginho
- Gilmour
- Kovacic
- Ross Barkley
Wingers
Strikers
- RLC
- Mount
- Pulisic
- Ziyech
- Odoi
- Timo Werner
- Tammy Abraham
- Giroud
- Batshuayi
Mimi mwenyewe sijaelewa comment yako.RLC sio attacking winger Ni kiungo mshambuliaji
Huyoo ni chaguo laooo, chaguo lao.Acheni hizo kachukueni lile zigo lenu kule Emirates lisiendelee kuwaulisha Washika Bunduki

Hayo ni majukumu yake mapya hata mount hatakuwa na nafasi kwenye kiungoRLC sio attacking winger Ni kiungo mshambuliaji
Ndo msimu wa AVB huo,, Di matteo alipokelea katikati..UEFA CL mulibeba na Roberto De Matteo