Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wanasema:-

"Timu inanayochukua ubingwa/kombe ina beki bora"

"Timu inayoshinda mechi ina safu bora ya ushambuliaji"

Kwahiyo vyote kwa pamoja vina umuhimu kwenye timu, sio tunafunga magoli mengi yanaishia kusawazishwa.

Kumbuka kuna kipindi tulikuwa tukiongoza goal halidumu linasawazishwa muda huo huo.

Hii hali ipo mpaka sasa Chelsea haiwezi kushinda 1-0, mechi itaisha 1-1 au 1-2.

Dk 90 roho mkononi tukipigiwa kona tunafunga macho.
Unachosema ni ukweli mtupu. Ina case huna fundi ya kutosha kwa timu tuliyonayo lazima tungeanza kuimarisha mbele
 
Mtazamo wangu Chelsea ifocus kuimarisha maeneo ya msingi Kama Centra back na left back huyo kai waachane nae hatuna tatizo kwenye kiungo.Chelsea ndio team ya pili (big create chances most) nyuma ya man city, Man city ana 199, Chelsea ana 157 wakati Liverpool ana 155 Hadi sasa kwenye msimu huu.Tatizo la msingi la Chelsea ni kuconvert those chances into goals so why we sign Timo werner so hatuna tatizo la kiungo Ziyech anaweza pia kucheza no 10 role tunae, Pulisi,RLC,mount as well as Kovacic so huyo Kai wanini? Ukiangalia sifa kuu aliyonayo Kai ndio anayo RLC na Mount Hawa wote Ni scoring midfielders.Hiyo pesa kubwa ya Bei ya Kai kanunueni beki kisiki na left back shughuli itakuwa imeisha sio kumnunua Kai.
lembu Cash Money Forever Haifungiki Kyatile
LONDON IS BLUE Ollachuga Oc
Hapo umesema ukweli. Tatizo kubwa ya Chelsea ni defense pekee. Ukiangalia pale katikati na huko mbele, unapata cfc iko na wachezaji wengi zaidi na wa hali ya juu ata wengine hawapati chance.

Hizo pesa wanataka kutumia wakimsajili kai, kwangu ni heri wanunue walindalango wawili ama mmoja mwenye atakuja awe akisaidiana wengine.
 
Goli la Maupay ktk dakika ya 95 dhidi ya Arsenal ndilo goli la mwezi kwa maoni yangu. Build up ya goli ni very very superb
Brighton 2 Arsenal 1
 
Swali:- Yapi yalikuwa maeneo Lampard alitaja/alitaka yafanyiwe usajili?

Mi nakumbuka katika interview Lampard alizokuwa anafanyiwa baada ya kupoteza mechi alikuwa anasema:-

"Timu imecheza vizuri imetengeneza nafasi nyingi za kufunga lakini tumezipoteza"

Alimaanisha kwamba ufanyike usajili wa STRIKER.

Je Lampard alishawahi kutaja LB, CB, CAM ? Au sisi mashabiki ndio tunapendekeza wasajiliwe?

Je usajili wa ZIYECH ni Lampard au Marina?

Sent using Fly in any Weather.
Ndugu yangu sijui kama nimekuelewa, kwa protokali hakuna sehemu aliyotaja kwamba timu inamtaka striker au hao wengine. Na sidhani kama kuna kocha atakaye taja kitu kama hicho kwa sababu atawavunja morale wachezaji wake ambao bado atawategemea kwenye kumletea matokeo. Majibu ya kocha huwa ni kwenye usajili. Kwa taarifa yako Lampard ndie mkuu wa scouting team. Hakuna usajili unaofanyika bila ya yeye kuhusika. Makocha huko nyuma yaweza kuwa hawakuwa wanasikilizwa akina Conte na Sarri ila Lampard kwa sasa anasikilizwa sana na managementi na pia bosi mkuu Roman
 
Katika mechi iliyopita kati ya Chelsea na Aston Villa, Chelsea ilishinda 2-1
Wafungaji ni

  1. Tammy Abraham - Assist by Reece James
  2. Mason Mount Assist ni Tammy Abraham
 
Baada ya kusemwa sana nimeamua kumfuatilia Mohamed Saïd Benrahma
Ni mchezaji mzuri, dribling skills zake ni za hatari
 
Katika point 48 tulizo nazo tuna uwezo wa kufikisha 63 ambazo Man U na Wolve hawataweza kuzifikisha
  1. Chelsea tuna pts 48 ktk mechi 29, Zimebaki mechi 9, mechi za uhakika za kushinda ni 4, draw 3 projected total points = 63
  2. Man U wana pts 46 ktk mechi 30, Zimebaki mechi 8, mechi za uhakika za kushinda ni 3, draw 3 projected total points = 58
  3. Wolve wana pts 46 ktk mechi 30, Zimebaki mechi 8, mechi za uhakika za kushinda ni 3, draw 4 projected total points = 59
  4. Shefield U wana pts 44 ktk mechi 29, Zimebaki mechi 9, mechi za uhakika za kushinda ni 2, draw 5 projected total points = 55
Lampard ampe muda wa kutosha Bill Gilmour na kule mbele asimuache RLC, Mount na Willian, Giroud na Tammy wapokezane, akianza huyu akaboa apokee mwenzake nk
 
Joe Cole on Lampard and Chelsea
“I know Frank's a winner and he'll be looking at the FA Cup as well. That's vitally important for that club because over the last 20 years has been built on winning trophies and that's what the fans want to see.”
 
Lampard on Alonso
Lampard said after the Spaniard's double against Bournemouth in February, "I don't want my left-back top of the scoring charts. I want our attackers scoring goals and they haven't been."
 
Lampard on Tammy Abraham
Lampard said: “I’ve spoken to Tammy before about the idea of competition and I don’t feel the need to have to address every player if a player comes in who might challenge their position at a club like Chelsea, because that’s what it’s about.
“It’s been about that in its most successful years, in recent years in the Roman Abramovich era.
“Tammy has had a very good season for us this season. He has to sustain and improve on that because at Chelsea we have demands. I’m happy to have options and we have options in forward areas. And we must have competition for places. So I’m pleased with the idea of that.”
 
Lampard aelezea jinsi wanavyowasiliana kwa ajili ya usajili
"I haven't spoken to him [Abramovich] recently," Lampard told reporters as he explained the dynamic at the heart of transfer decision making at Stamford Bridge. "I speak to Marina a lot and with Petr. We are very joined up and we talk a lot and communication is key in that.
 
1592694856140.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom