Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ilka kwa ushindani utakaokuwepo, RLC anatakiwa abadilike, ana elements za kuvuta mpira hata wakati wa Sarri,
Mimi naamini atarudi kwa nguvu sana watu watashangaa. Maana ile kasi yake ya kushambulia leo haikuwepo kuna cross moja ilipigwa ilibidi afunge lakini hakuwa kasi akachelewa. Nadhani ni swala la muda atarudi ktika makali yake
 
He has always been slow...as far as I cna remember. He only has flashes of brilliance.

Sent from my SM-G950U1 using JamiiForums mobile app
 
Pulisic's 1st Chelsea season vs Willian/Pedro's 1st Chelsea Season

Pulisic [7 Goals & 6 Assists in 24 Games] [Goal/Assist every 124 minutes]

Willian [4 Goals & 10 Assists in 46 Games] [Goal/Assist every 240 minutes]

Pedro [9 Goals & 3 Assists in 43 Games] [Goal/Assist every 231 mins]

Stats can be brutal sometimes
 
Kama wachezaji waliocheza vizuri wataendelea ku-perform vizuri hivi mechi zilizobaki:

Washambuliaji: LW itakuwa ya Pulisic, Striker Timo, RW ya Ziyech
Viungo: Mount, Kante na Kovacic
Beki: Alonso/LB mpya - Rudiger CB Mpya - Azpi
Kipa: KEPA

Tammy na Giroud watakuwa Backup ya Timo
Odoi atakuwa backup ya Ziyech na Pulisic
RLC, Bill na Jorginho watakuwa backup ya kiungo ila bado nasema Bill apewe muda zaidi, kuwa man of the match mechi 2 mfululizo sio kubahatisha
Nyuma kuna shida tunahitaji LB wa kusaidiana na Alonso na muhimu kusajili CB wa kuja kuwaongoza wenzake kama alivyokuwa akifanya John Terry. Lile Goli la Aston Villa halikubaliki kabisa. Chritensen alilala fofofooo, waliojitahidi ni Rudiger na Azpi japo nao wangewamark Aston villa lisingetokea lile goli. We ulishaona wapi attacker wanne kwa defenders wawili wanazuia goli lisifungwe?
In short we need a CB very urgent
Kai sio wa muhimu ataflotisha akaunti zetu bure ila akija anaweza kuongeza ushindani kwa akina Mount, Pulisic na Ziyech
 
Player ratings Aston Villa vs Chelsea on 21 June 2020
Kepa Arrizabalaga. 6
Cesar Azpilicueta. 7
Antonio Rudiger. 4
Andreas Christensen. 5
Marcos Alonso. 5
N'Golo Kante. 8
Mateo Kovacic. 6
Ruben Loftus-Cheek. 4
Mason Mount. 8
Olivier Giroud. 7
Willian. 6
Substitutes
Reece James. 4
Ross Barkley. 6
Christian Pulisic. 7
Tammy Abraham. 5

Note
8 = Excellent!
7 = Very Good
6 = Good
5 = Poor
4: Very poor

Source: Chelsea player ratings: Pulisic makes huge impact as Mount shines in win
 
Kama wachezaji waliocheza vizuri wataendelea ku-perform vizuri hivi mechi zilizobaki:

Washambuliaji: LW itakuwa ya Pulisic, Striker Timo, RW ya Ziyech
Viungo: Mount, Kante na Kovacic
Beki: Alonso/LB mpya - Rudiger CB Mpya - Azpi
Kipa: KEPA

Tammy na Giroud watakuwa Backup ya Timo
Odoi atakuwa backup ya Ziyech na Pulisic
RLC, Bill na Jorginho watakuwa backup ya kiungo ila bado nasema Bill apewe muda zaidi, kuwa man of the match mechi 2 mfululizo sio kubahatisha
Nyuma kuna shida tunahitaji LB wa kusaidiana na Alonso na muhimu kusajili CB wa kuja kuwaongoza wenzake kama alivyokuwa akifanya John Terry. Lile Goli la Aston Villa halikubaliki kabisa. Chritensen alilala fofofooo, waliojitahidi ni Rudiger na Azpi japo nao wangewamark Aston villa lisingetokea lile goli. We ulishaona wapi attacker wanne kwa defenders wawili wanazuia goli lisifungwe?
In short we need a CB very urgent
Kai sio wa muhimu ataflotisha akaunti zetu bure ila akija anaweza kuongeza ushindani kwa akina Mount, Pulisic na Ziyech
Vip mzee si ulitaka kante auzwe kwasababu aendani na mfumo wa Lampard umeona leo Lampard kaamua yaishe kamchezesha kwenye eneo lake halisi Hili umeshindwa kabisa kuligusiwa Kama Lampard angekuwa anampanga kante kwenye eneo lake tusingekuwa tunapoteza game kirahisi jorginho alitukosti Sana kwenye nafasi yake.Tukija kwenye issue ya Gilmour yah Ni mchezaji mzuri lakini Kama atachezeshwa basi kante hatachezeshwa kwenye natural position yake labda tu Lampard ampe Gilmour role nyingine ya number 10. lembu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom