Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1592490476155.png
 
Sura halisi ya ligi mwakani
  1. Timo magoli 30
  2. Tammy magoli 20
  3. Hakim magoli 20
Forward watatu tu JUMLA magoli 70, TUMEMALIZA LIGI NA WACHEZAJI WATATU.
Hujaweka ya akina odoi, pulisic, mount, na zile moja moja za akina Alosno, Rudiger, Kante, Jourginho

1592497250891.png
 
Sura halisi ya ligi mwakani
  1. Timo magoli 30
  2. Tammy magoli 20
  3. Hakim magoli 20
Forward watatu tu JUMLA magoli 70, TUMEMALIZA LIGI NA WACHEZAJI WATATU.
Hujaweka ya akina odoi, pulisic, mount, na zile moja moja za akina Alosno, Rudiger, Kante, Jourginho

View attachment 1482626

Nakushauri tu bado ni mapema usiwe unapost vitu kama hivi technologia haisahau watakufukulia makaburi.
 
Chelsea get Kai Havertz transfer boost as Real Madrid, Bayern Munich drop out

Real Madrid revealed on Thursday night that they will have to wait a year before doing any deal for £90-million rated Bayer Leverkusen midfielder Havertz - and Chelsea’s other rivals Bayern Munich are also out of contention this summer.
 
Sajili zilizobaki (Chilwel & Havertz) pochi nene inahusu.
Mchezaji pekee wa pochi nene ninayemuamini ni Jadon Sacho hawa wengine tunaweza kurudia tamthilia ya Countinho na Barcelona
Kwa nini Uongozi usijikite kwenye Defense na Kiungo? Wachezaji watatu tu, LB, CB na Kiungo mchezeshaji. Kama wakimkosa kabisa, Hakim Ziyech anaweza kufogi na kucheza vizuri midfield kuliko hawa tulio nao.
 
Mchezaji pekee wa pochi nene ninayemuamini ni Jadon Sacho hawa wengine tunaweza kurudia tamthilia ya Countinho na Barcelona
Kwa nini Uongozi usijikite kwenye Defense na Kiungo? Wachezaji watatu tu, LB, CB na Kiungo mchezeshaji. Kama wakimkosa kabisa, Hakim Ziyech anaweza kufogi na kucheza vizuri midfield kuliko hawa tulio nao.
Kwa nini asiuzwe Jo kwa sababu akiajiriwa kiungo mchezeshaji au Ziyech akiwekwa kwenye kiungo, Jo hawezi kukaba na kwa hiyo atakuwa suplus kwa Lampard
 
Timo adai anakuwa free zaidi akicheza namba 10, hii ni habari njema kwa Tammy Abraham na habari mbaya kwa Mount na Pulisic
 
" Timo Werner, bado ni mchezaji wetu halali atujapokea ofa yoyote kutoka katika klabu ya Chelsea, nimeona kwenye vyombo vya habari zina ripoti kuwa Chelsea wametoa kiasi cha paundi milioni 54 kumsajili sio za kweli ni za uzushi
.
.
" Sijapokea ofa yoyote kwa sasa tunaangalia lengo la kufuzu Michuano ya klabu Bingwa Barani Ulaya kwa msimu ujao ndio malengo yetu makubwa hayo ni bado mchezaji wetu nina imani atasaini mkataba mpya sio mda mrefu wa kuendelea kubaki na sisi
.
.
" Tuna mpango wa kumuongeza mkataba kwa sababu ni mchezaji mwenye umri mdogo hatuwezi kumuacha kuondoka hivi hivi kama atataka kuondoka lazima atuambie sisi viongozi wake," Mkurugenzi wa michezo wa klabu ya Rb Leipzig, Olivier Mintzlaff.
.
.
NB: Hii mpya sasa[emoji113] nani mkweli hapo eti mashabiki wa Chelsea
Chelsea ndio mkweli
 
Hapo lamps anachekelea anavyompenda Tammy acheze. Ila tusitegemee makubwa kutoka kwa Tammy tuendelee kuassume kwamba uwepo la Tammy tunacheza pungufu uwanjani.

Otherwise Labda Tammy ajeuke mpikaji wa mabao kama anavyofanya Firmino wa Livepool awaachie Werner na Ziyech watupie mabao.
Tammy atacheza vizuri kwa sababu kuu mbili,
  1. Ushindani: asipocheza vizuri Lampad atampiga benchi na kumweka Timo hapo kwenye namba 9
  2. Kucheza bila shinikizo: huko nyuma Tammy alikuwa akicheza kwa shinikizo kubwa la mashabiki, kocha, timu yake na uongozi mzima walimtegemea yeye afunge magoli. Sasa atacheza bila shinikizo na kwa hiyo tutegemee tallent zake ndio sasa tutaziona
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom