Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hakika umenikumbusha jamaa mchoyo kinyama halafu anaishiaga kupiga mashuti mengi nje. Cheek mzuri kwenye kumalizia mipira inayoranda randa golini
Nyinyi hamfahamu cheek Ni bonge la mchezaji kitu kinachonifurahisha kwake Ni kwamba pamoja na kuwa na height kubwa lakini ana dribble vizuri,goal scorer alafu pia yupo very strong physically anajua kuhold mpira Ni ngumu kwa mpinzani kuchukua, ana speed itakayomuwezesha kulink up vizuri na pulisc,werner na Hakim ziyech cos wote kwa pamoja Wana soka la kasi.. chini ya Lampard atazidi atan'gaa kwa sababu ya style of play ya Lampard wewe mwenyewe utakuja hapa kumsifia keep it in your mind.
 
Kwahiyo Cheek atacheza nyuma ya STIKER.

4-2-3-1

................Werner.........

Pulisic.....Cheek.......Ziyech
cheek kuchez kwa kiwango Tena itakua ngumu sana, msimu mzima hajacheza na timu kubwa so kurud na kuperfom so atakua mtu wa kuanzia benchi
 
Hata Juan Mata kipindi cha Mourinho alisemwa ivyo. Amin nakwambia ndugu yangu kwa mchezo anaocheza Lampard ndio unamfaa RLC kwa sababu ya aggredive yake katika attacking. Labda haujamuangalia vizuri anatafuta mipira pia japo siyo jukumu lake kuu.

Huyu nakumbuka aliambiwa na kocha msaidizi zola kuwa ana mwili mzuri wa mpira atumie kila kiungo alichonacho kucheza mpira. Baada ya hapo jamaa aliwasha moto balaa akikuwekea misuli huchukui mpira kumnyanganya mpira ni ndoto. Namkubali sana cheek
 
Mimi nawaza hivi ubinafsi wa lampard atakubali Abraham akae nje halafu huyu mtoto aliyesajiliwa acheze
 
Mimi nawaza hivi ubinafsi wa lampard atakubali Abraham akae nje halafu huyu mtoto aliyesajiliwa acheze
Lampard alimpigia simu Timo Werner binafsi nakuzungumza nae before ya kusajiliwa ili akubali deal la Chelsea baada ya makubaliano hayo akamtuma Peter cech na yule mama mrusi kwenda ujemani kukutana na timu yake ndo usajili ukatokea kupitia maelezo hayo nazani utapata jibu la swali lako.
 
Nyinyi hamfahamu cheek Ni bonge la mchezaji kitu kinachonifurahisha kwake Ni kwamba pamoja na kuwa na height kubwa lakini ana dribble vizuri,goal scorer alafu pia yupo very strong physically anajua kuhold mpira Ni ngumu kwa mpinzani kuchukua, ana speed itakayomuwezesha kulink up vizuri na pulisc,werner na Hakim ziyech cos wote kwa pamoja Wana soka la kasi.. chini ya Lampard atazidi atan'gaa kwa sababu ya style of play ya Lampard wewe mwenyewe utakuja hapa kumsifia keep it in your mind.

Nakuunga mie mwenyewe mkuu. Cheek yupo pouwa maybe zile jeraha zimuaribu tu
 
Hivi kiporo cha chelsea na bayern munic kinachezwa lin?
 
Hichi kikosi kizuri sana. MOUNT anaingia kazi iwe kumimina mashuti langoni kwa adui. View attachment 1470114

Nyingine hii hapa hii hapa ingawa kwa James bado namkubali Azipilicueta
IMG_1904.JPG
 
Hawa wachezaji watanufaika zaidi na ujio wa Timo
Tammy Abraham: Alibeba mzigo mkubwa sana katika ufungaji, hata hivyo magoli 13 aliyofunga sio haba kwa umri wake na ukichukulia ukweli kuwa ni mara ya kwanza akibeba majukumu makubwa kama hayo kwa timu kubwa kama Chelsea. Uwepo wa Timo sio tu utamfanya Tammy arelax na kucheza kwa kujiamini zaidi na hivyo kuongeza kiwango chake bali pia utamfanya ashindane kwelikweli.
Marko Alonso: Wing-Back mzuri kwa mashabulizi na uwepo wa Timo mbele unatoa uhakika wa umaliziaji mzuri kwa mashambulizi ya Alonso kutokea kushoto kwani pia Timo anapenda sana kucheza upande wa kushoto
Mason Mount: Mount ni kiungo mshambuliaji mzuri sana, ndie anayeongoza kwa kutengeneza nafasi msimu uliopita kwa upande wa Chelsea. Chances anazocreate zitaleta manufaa makubwa kwa uwepo wa mmaliziaji mzuri kama Timo
Reece James: Huyu ni RB mwenye kupenda sana kupiga crosses kama Ziyech. Sasa mmaliziaji wa crosses ndio kaingia darajani na sehemu kubwa ya croses za Reece zitaleta magoli na kuisaidia timu kufanya vizuri zaidi.
Hakim Ziyech: kama alivyo Reece, Hakim anapenda sana kutumbukiza mipira ya krosi golini akitokea upande wa kulia. Timo analijua hilo na anaouwezo wa kutendea haki croses za Reece na Ziyech
Azpilicueta: Acheze kama Wing-Back wa kulia au kushoto, Azpi anapenda sana kutoa majalo golini na Timo akiwemo huko itakuwa ni hatari sana
 
Yaliyojiri huko nchini Germany leo hii. Mchezaji wa Chelsea aliyekwa mkopo katika club ya RB Leipzig Timo Werner ameisaidia timu yake hiyo kuweza kupata suluhu ya goli 1-1 katika uwanja wao wa nyumbani walipokutana na timu inayokaribia kushuka daraja Paderbon. Mchezaji huyo Timo Werner aliye kwa mkopo klabuni hapo alihusika katika upatikanaji wa bao hilo akihusika kutoa pass ya mwisho ya bao iliyowekwa kimiani na mshambuliaji mwenzake Patrik Schick.

tunatest mitambo. Mambo yakibuma sijui tutaambia nini watu wa Jamii Forums
 
Ahsante Mungu kwa kujibu maombi yangu.

Pulisic... Warner......ZiyechView attachment 1469108
" Timo Werner, bado ni mchezaji wetu halali atujapokea ofa yoyote kutoka katika klabu ya Chelsea, nimeona kwenye vyombo vya habari zina ripoti kuwa Chelsea wametoa kiasi cha paundi milioni 54 kumsajili sio za kweli ni za uzushi
.
.
" Sijapokea ofa yoyote kwa sasa tunaangalia lengo la kufuzu Michuano ya klabu Bingwa Barani Ulaya kwa msimu ujao ndio malengo yetu makubwa hayo ni bado mchezaji wetu nina imani atasaini mkataba mpya sio mda mrefu wa kuendelea kubaki na sisi
.
.
" Tuna mpango wa kumuongeza mkataba kwa sababu ni mchezaji mwenye umri mdogo hatuwezi kumuacha kuondoka hivi hivi kama atataka kuondoka lazima atuambie sisi viongozi wake," Mkurugenzi wa michezo wa klabu ya Rb Leipzig, Olivier Mintzlaff.
.
.
NB: Hii mpya sasa nani mkweli hapo eti mashabiki wa Chelsea
 
Hata hivyo Chelsea hawajatoa ofa, walikubaliana na mchezaji kwanza na baada ya hapo within a week paperwork itaanza ya kuwasilisha ofa sawasa na mkataba wake unavyodai ambapo mwisho wa ku-triger buy clause ya Paundi mil 49.4 ni June 15
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom