Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kila siku unasema hapa Kante auzwe leo unasema Jo auzwe tukuelewe vipi mkuu?
Kwa maoni yangu ningependa wote wauzwe ila kama ni mmoja auzwe Jo auzwe kwa sababu Kante bado anaweza kutumiwa kwenye defensive roles. Naunga mkono uuzwaji wa Kante kwa sababu atatupa pochi nene ya kuweza kuwaleta tallents wachanga kama akina Havertz.

Kwa falsafa ya Lampard ya kucheza kwa kasi na kuposses mpira kila wakati, Kante na Jo hawataweza, tumeshashuhudia mara nyingi hapa na watu mnajitoa ufahamu. Mechi nyingi Kante akicheza chini ya Lampard tunafungwa au droo. Kwa takwimu zinaonyesha kuwa winning rate ya Chelsea akiwemo Kante ni 36% tu na asipokuwepo ni 71%.

Chelsea have only won 33.3 per cent of their league games with Kante in the team and 87.5% without him. In all competitions it gets slightly better but they have still won only 36.8% with him and a surprising 71.4% without him.
Stats show that Chelsea have lost more games with Kante on the pitch. What could be the problem? – THE REAL CHELSEA FANS

That statistics show this and, remarkably, Chelsea are winning more without him in the side. Chelsea have only won 33.3 per cent of their league games with Kante in the team and 87.5% without him. In all competitions it gets slightly better but they have still won only 36.8% with him and a surprising 71.4% without him.
Chelsea are worse with Kante in the team, should Lampard leave him out? | Goal.com
 
Abraham is overrated
Jadon Sancho walisemaga naye ni OVERATED kwa sababu ni mwingereza lakini kila msimu anaweka double digits kwenye assists na magoli, Tammy bado mdogo sana kuanza kumpajina la overated, bado anayo room ya kufanya vizuri na kubadili mtizamo wako kwake
 
Hili ndio jibu kwanini KANTE anacheza chini ya kiwango:-

However, injury hasn’t been on his side since last season. He was forced to play through injury as he took pain killer ahead of the Europa League final against Arsenal last season and also played an important role for France in the World Cup last summer.

Subsequently, Kante missed pre-season with Frank Lampard and has been battling injury ever since.
Ndugu sio Kante tu anyepata majeruhi na pia sio tu safari hii Kante kapata majeruhi, hata alipokuwa na Ranieri alikuwa akipata majeruhi mara kwa mara na bado alicheza vizuri
Hata Kante asipopata majeruhi sidhani kama ataweza kurudi kwenye form ya Leicester city na Chelsea ya 206/17 chini ya Lampard
Kumbuka kuwa mfumo wa Rainery na Conte ndio uliomchomoza Kante, mifumo ya counter attack. Sasa Sarri na Lampard wamekuja na mifumo tofauti na hapo ndiko Kante alipopotelea. Tuwe wakweli
 
Ndugu sio Kante tu anyepata majeruhi na pia sio tu safari hii Kante kapata majeruhi, hata alipokuwa na Ranieri alikuwa akipata majeruhi mara kwa mara na bado alicheza vizuri
Hata Kante asipopata majeruhi sidhani kama ataweza kurudi kwenye form ya Leicester city na Chelsea ya 206/17 chini ya Lampard
Kumbuka kuwa mfumo wa Rainery na Conte ndio uliomchomoza Kante, mifumo ya counter attack. Sasa Sarri na Lampard wamekuja na mifumo tofauti na hapo ndiko Kante alipopotelea. Tuwe wakweli
pia tofautish kante alivokuw chin ya leicter Alkuw na drink water ambae nae Alkuw anmsaidia kukba pia majeruh yke hayakuwa kma saiz
Kante ktumika sana without replacement so kun mda majeruhi yanazidi
 
Tammy atacheza vizuri kwa sababu kuu mbili,
  1. Ushindani: asipocheza vizuri Lampad atampiga benchi na kumweka Timo hapo kwenye namba 9
  2. Kucheza bila shinikizo: huko nyuma Tammy alikuwa akicheza kwa shinikizo kubwa la mashabiki, kocha, timu yake na uongozi mzima walimtegemea yeye afunge magoli. Sasa atacheza bila shinikizo na kwa hiyo tutegemee tallent zake ndio sasa tutaziona
apa nkuunga mkono tatizo mshabiki wengi wanafiki kipindi Abraham anascore watu sifa Kama zote same time wakaanza kumtgea kma pro player while not

Unacompare na Sancho yuko bvb hana pressure ana timu yenyequality players hakuwa main man wa kutgemea kwamb yeye ndo kila kitu kma kwa Tammy n Chelsea

I don't hate Tammy thou somtms anaboa kutokn na kutokuwa na clinical finishing but still kjitaid
 
CHELSEA VS ASTON VILLA ON SUNDAY
Hawatakuwepo
  1. Fikayo Tomori out for 10 days or so
  2. Callum Hudson-Odoi he’s not match fit
Atakuwepo LAKINI:
  1. RLC has no enough matches so he will be managed differently
Wengine wote wako FIT
  1. Sub 5
  2. Benchi 9
 
Twende na mfumo huu Vs Aston villa

Pulisic...Abraham....Willan


Alonso..Kovacic..Kante.. James


Rudger... Christensen..Azipu


....................Keppa..................
Asimame giroud instead of Abraham kutokana na aina ya mpira wanaocheza astoni villa
 
Lampard on Timo Werner and Tammy Abraham
With a new striker coming in, Lampard considered the question of whether he has felt the need to talk to Tammy Abraham about Werner.

‘I have spoken to Tammy before about the idea of competition and I don’t feel the need to have to address every player if a player comes in who might contest their position at a club like Chelsea, because that is what it is all about. It has been about that in its most successful years.
‘Tammy has had a very good season for us this season and has to sustain and improve on that because at Chelsea we have demands. I am happy to have options and we have options in forward areas. We must have competition for places and I am pleased with the idea of that.’

Frank Lampard: Timo Werner excited by Chelsea project | Official Site | Chelsea Football Club
 
1592603789538.png

Chelsea predicted XI
(4-3-3):

Pulisic - Tammy - Willian
Kante - Kovacic - Mount
Azpilicueta - Rudiger - Zouma - James
Kepa
 
Blues 'open talks' for £80m Chilwell

Chelsea have reportedly opened talks with Leicester City over a move for left-back Ben Chilwell, according to
The Express.
7367c02a-2bf4-4b60-b65a-cd47cdc9b664.jpg
 
Kante hauzwi
Asema Lampard
Lampard insists Chelsea won't need to sell Kante to finance Werner move

1592604426560.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom