Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hapo lamps anachekelea anavyompenda Tammy acheze. Ila tusitegemee makubwa kutoka kwa Tammy tuendelee kuassume kwamba uwepo la Tammy tunacheza pungufu uwanjani.

Otherwise Labda Tammy ajeuke mpikaji wa mabao kama anavyofanya Firmino wa Livepool awaachie Werner na Ziyech watupie mabao.
Tammy ana potential, inahitaji mtu mwenye jicho la kuona mbele angalau miaka mitatu kugundua kuwa Tammy ana potential. Hivi nipe orodha ya vijana wenye miaka 22 ambao wanaweza kufunga magoli 15 kwenye msimu mmoja wa ligi
 
Mtazamo wangu Chelsea ifocus kuimarisha maeneo ya msingi Kama Centra back na left back huyo kai waachane nae hatuna tatizo kwenye kiungo.Chelsea ndio team ya pili (big create chances most) nyuma ya man city, Man city ana 199, Chelsea ana 157 wakati Liverpool ana 155 Hadi sasa kwenye msimu huu.Tatizo la msingi la Chelsea ni kuconvert those chances into goals so why we sign Timo werner so hatuna tatizo la kiungo Ziyech anaweza pia kucheza no 10 role tunae, Pulisi,RLC,mount as well as Kovacic so huyo Kai wanini? Ukiangalia sifa kuu aliyonayo Kai ndio anayo RLC na Mount Hawa wote Ni scoring midfielders.Hiyo pesa kubwa ya Bei ya Kai kanunueni beki kisiki na left back shughuli itakuwa imeisha sio kumnunua Kai.
lembu Cash Money Forever Haifungiki Kyatile
LONDON IS BLUE Ollachuga Oc
 
Nimekuelewa mkuu. Umeongea point za Muhimu tupu, Kweli msimu huu tumetengeneza chance nyingi sana za kufunga.

Na kweli tunalundo la viungo wengi sana. Sidhani kama kuna timu EPL ina viungo wengi zaidi ya Chelsea

Hakika usajili wa beki ni wa muhimu kwa sasa. Ila chilwell anatua darajani believe that.

Kwa CB dirisha hili sidhani kama tutamsajili.

Sent using Fly in any Weather.
Vip na wewe upo kwenye huo mkumbo wa kumtaka Kai?suala la central back kusajiliwa inawezekana Kama itajikata kusajili wachezaji wa wawili left back na Centra defender alafu wakaachana na kai.
 
Mtazamo wangu Chelsea ifocus kuimarisha maeneo ya msingi Kama Centra back na left back huyo kai waachane nae hatuna tatizo kwenye kiungo.Chelsea ndio team ya pili (big create chances most) nyuma ya man city, Man city ana 199, Chelsea ana 157 wakati Liverpool ana 155 Hadi sasa kwenye msimu huu.Tatizo la msingi la Chelsea ni kuconvert those chances into goals so why we sign Timo werner so hatuna tatizo la kiungo Ziyech anaweza pia kucheza no 10 role tunae, Pulisi,RLC,mount as well as Kovacic so huyo Kai wanini? Ukiangalia sifa kuu aliyonayo Kai ndio anayo RLC na Mount Hawa wote Ni scoring midfielders.Hiyo pesa kubwa ya Bei ya Kai kanunueni beki kisiki na left back shughuli itakuwa imeisha sio kumnunua Kai.
lembu Cash Money Forever Haifungiki Kyatile
LONDON IS BLUE Ollachuga Oc
hiyo iko wazi
 
tatizo bosi kashamuhusudu Kai
 
Kutaka Kai asajiliwe sio kivile.

Matamanio yangu makubwa yalikuwa usajili wa STRIKER (FINISHER) na

kiungo mchezeshaji/playmaker aina ya Fabrigas (BRAIN) wa timu, mchezaji atakayerahishisha uchezaji kwa wachezaji mwengine, timu isitumie nguvu kuuubwa kucheza mpira

Nimefurahi striker tayari tumempata. Kiungo mchezeshaji sidhani kama atasajiliwa.

Kuhusu pale nyuma, tumeshakubali kwamba Chelsea msimu huu tunabeki mbovu sana (Ovyo kwenye kukaba, kumark adui, kuruka mipira ya vichwa)

Kama unavyosema akitua LB ule upande kula utakoma kuwa uchochoro wa kushambuliwa na adui.

CB ni wa muhimu zaidi tunahitaji beki kisiki, mrefu na mzuri kwenye kupiga vichwa either vya kuokoa magoli ya kona au kupanda juu kufunga mipira ya kona.

Pia huyu CB awe kiungozi wa safu ya ulinzi kama alivyo Vidjk pale Liverpool. Rudger ni mzuri kwenye kupewa maelekezo na kuyafanyia kazi.

Sent using Fly in any Weather.
Bado huyo kiungo ni muhimu ila sio Kai
 
Hii ya Kai ni kwa ajili ya biashara ukizingatia umri wake. Nadhani msimu huu timu nyingi kubwa hazitasajiri vizuri. Baada ya msimu wa 2020/2021timu hizo zitakuwa na demend kubwa ya kusajiri so tunaweza kuwauza baadhi ya vijana kwa faida kubwa.
 
EPL? Au ligi 5 bora? Kuna Halaand miaka 19
Unaelewa maana na neno "orodha" mkuu? Nataka uorodheshe vijana wa umri wake kuanzia EPL(angalau wa5) alafu na wengine wa5 kutoka kwenye ligi kubwa 5 Ulaya. Usije ukasahau pia Tammy yuko EPL. Na hata hao utakao wataja nje ya EPL are not proved kwamba they will offer the same quality if they play in EPL. Tammy ameonyesha uwezo unaouona akiwa EPL.
 
Kutaka Kai asajiliwe sio kivile.

Matamanio yangu makubwa yalikuwa usajili wa STRIKER (FINISHER) na

kiungo mchezeshaji/playmaker aina ya Fabrigas (BRAIN) wa timu, mchezaji atakayerahishisha uchezaji kwa wachezaji mwengine, timu isitumie nguvu kuuubwa kucheza mpira

Nimefurahi striker tayari tumempata. Kiungo mchezeshaji sidhani kama atasajiliwa.

Kuhusu pale nyuma, tumeshakubali kwamba Chelsea msimu huu tunabeki mbovu sana (Ovyo kwenye kukaba, kumark adui, kuruka mipira ya vichwa)

Kama unavyosema akitua LB ule upande kula utakoma kuwa uchochoro wa kushambuliwa na adui.

CB ni wa muhimu zaidi tunahitaji beki kisiki, mrefu na mzuri kwenye kupiga vichwa either vya kuokoa magoli ya kona au kupanda juu kufunga mipira ya kona.

Pia huyu CB awe kiungozi wa safu ya ulinzi kama alivyo Vidjk pale Liverpool. Rudger ni mzuri kwenye kupewa maelekezo na kuyafanyia kazi.
Rudiger is typical leader
 
Hii ya Kai ni kwa ajili ya biashara ukizingatia umri wake. Nadhani msimu huu timu nyingi kubwa hazitasajiri vizuri. Baada ya msimu wa 2020/2021timu hizo zitakuwa na demend kubwa ya kusajiri so tunaweza kuwauza baadhi ya vijana kwa faida kubwa.
Hiv uoni kwamba akija Kai tutakuwa tuna lundo la midfielders wakati tuna weakness ya left back na central back
 
EPL? Au ligi 5 bora? Kuna Halaand miaka 19

Sent using Fly in any Weather.
Tammy ni mojawapo wa vijana washambuliaji wazuri wenye bright future na sio vyema tukambeza kwa sababu atatuumbua in the near future. Ukiwaondoa akina Haland na Mbape ambao kwa kweli ni special case, Tammy yuko kwenye next level below them
 
Hiv uoni kwamba akija Kai tutakuwa tuna lundo la midfielders wakati tuna weakness ya left back na central back
Mimi siungi mkono na pia sipingi Kai kuja Chelsea kwa sabbau zifuatazo
Kule mbele kweli tunao RLC na Mount ambao pia wako flexible, wanaweza cheza kama wingas na pia kama MF
Kai nae ana hiyo quality ya kucheza kama winga na pia kucheza kama MF
Kama Kai atakuja ni suala la kuwa offload akina Barkley na akina Odoi na Pulisic wakawa backups kulia Odoi na Kushoto Pulisic
Tusikatae wakija tuunde timu kama ya Man city ambayo timu A na B inao uwezo wa kuchukua ubingwa au vikombe vingine. Kwa hiyo tukubaliane tu na ujia wa Kai kama akija, hicho ni chombo kitatufaa
 
Kama Kai atakuja ujue hatutasajili central back unakubaliana na Hilo kipi muhimu kwako kusajili central back au kumsajili Kai?
lembu Cash Money Forever
 
Kama Kai atakuja ujue hatutajili central back unakubaliana na Hilo kipi muhimu kwako kusajili central back au kumsajili Kai?
lembu Cash Money Forever
Katika makocha ninaowakubali kwenye maamuzi ni Frank Lampard na safari hii manegement wanamsikiliza ile mbaya. Siamini kuwa Lampard atasizitiza kumleta Kai na kuacha LB ambaye amekuwa akipiga kelele sawa na striker. Lampard pia anajua wazi kuwa hitaji kubwa la Chelsea kwa sasa baada ya kumsajili Ziyech na Timo ni LB na CB, Kai atakuja kama ni wa kuja na LB atakuja na CB pia. Usiwe na wasiwasi tunae kocha genius na ata take care yote hayo
TUNAMKUBALI KAI AJE ILA KIPAUMBELE NI LB NA CB PAMOJA NA KIUNGO MCHEZESHAJI, KAI NI SUPLUS
 
Kama Kai atakuja ujue hatutajili central back unakubaliana na Hilo kipi muhimu kwako kusajili central back au kumsajili Kai?
lembu Cash Money Forever
Mkuu ni kweli tunahitaji a proved CB na si kuwategemea zaidi vijana wanaoanza kujifunza Christensen na Tomori. Ila amini hili nalokwambia; mechi nyingi tumetoka droo au kushindwa kwa sababu hatukutumia nafasi za kufunga vzuri. Ni bora kwanza mbele na kati pakamilike then ikibaki chenji tunaimarisha na nyuma. Pesa isipotosha tunaimarisha timu January ili tubebe ubingwa msimu utakaofuata. VVD na Alison wameibadilisha timu na kuifanya ibebe CL na sasa EPL.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom