Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Na wewe ni shabiki wa Chelsea?????
Swali gani sasa hili?hebu kaa na wenzio wakupe japo A,B,C za club yako,kama unashangaa kwa Ricardo Quaresma ukiambiwa kuhusu Didier Deschamps na kina Maniche si utakataa wewe...!!!!
Wadukuaji wa wikipedia, Quaresma alikaa miezi minne tu na wala hakucheza sana na hakuna hata shabiki wa Chelsea aliyekuwa akimfuatilia kwa sababu hakuwahi kuwa na namba pale darajani.
 
Mbona hizi taarifa za Cristiano Ronaldo kuja EPL, Chelsea zinazidi kuzagaa?
 
Bayer Leverkusen CEO Fernando Carro says

"I see the player’s wish to take the next step sometime in the near future.
"You have to respect that as much as the fact that he has a contract in until 2022."
“You have to try to find a solution where the player’s goal can be reconciled with ours. At the moment nobody can say for sure what will happen.”

Kwa maelezo hayo hapo juu, inaelekea wako tayari kushusha bei na wanaweza kukubali ofa ya Chelsea ya paundi mil 75
 
Wakimuuza Alonso na Emerson basi wamlete Alex Telles na Ben Chilwell
 
Bayer Leverkusen CEO Fernando Carro says

"I see the player’s wish to take the next step sometime in the near future.
"You have to respect that as much as the fact that he has a contract in until 2022."
“You have to try to find a solution where the player’s goal can be reconciled with ours. At the moment nobody can say for sure what will happen.”

Kwa maelezo hayo hapo juu, inaelekea wako tayari kushusha bei na wanaweza kukubali ofa ya Chelsea ya paundi mil 75
Nani huyo?
 
Football London
Calcio Mercato report that Chelsea are looking at bringing in Lazio star Ciro Immobile alongside Timo Werner.
 
WERNER AMEJIONDOA LEIPIZIG

Timo Werner amejiondoa kwenye kikosi Cha uefa cha Leipizig kinachocheza uefa msimu Huu kuajili ya kukamilisha dili na Chelsea kwa kufanyiwa vipimo vya afya na kwa ajili ya pre season kwa ujumla.

NB:Naona dili done wazee ila jamaa wa ajabu kajitoa uefa wakati team bado ipo kwenye michuano haya Ni mapenzi kiasi gani anayo kwa Chelsea
 
Wadukuaji wa wikipedia, Quaresma alikaa miezi minne tu na wala hakucheza sana na hakuna hata shabiki wa Chelsea aliyekuwa akimfuatilia kwa sababu hakuwahi kuwa na namba pale darajani.
Duh...kwahiyo higuain hamkumfatilia?
 
Duh...kwahiyo higuain hamkumfatilia?
Baada ya miaka miwili hadi mitano naye atasahulika, timu yeyote huwezi kumfuatilia mchezaji asiyekupa raha, wewe unawafuatilia wote Arsenal hata akina Gervinho na Park Chu-Young
 
,, au takuma au yule jekinson..

Takataka chache sana hua zinakumbukwa
Baada ya miaka miwili hadi mitano naye atasahulika, timu yeyote huwezi kumfuatilia mchezaji asiyekupa raha, wewe unawafuatilia wote Arsenal hata akina Gervinho na Park Chu-Young
 
Baada ya miaka miwili hadi mitano naye atasahulika, timu yeyote huwezi kumfuatilia mchezaji asiyekupa raha, wewe unawafuatilia wote Arsenal hata akina Gervinho na Park Chu-Young
kipindi yupo katika timu yangu laz,a nimfatilie mzee!na atabaki katika rekodi kuwa alishawahi kupitia chamani
 
hahahahahahahahahaha kuna mtu anakuja kuwa Flopper la msimu hapo,mjiandae kisaikolojia msije vunja TV zetu katika mabanda umiza,
Leo mjiandae kisqikolojia
Screenshot_20191216-202025_1576517101849.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom