Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huyu lazima atakuwa sio mfuasi wa Coutinho
Barcelona still trying to tempt Chelsea into wasting money on Philippe Coutinho — reports
 
Chelsea imetawala na itaendelea kutawala kwenye soko la ununuzi wa wachezaji msimu huu kuliko timu zote za ligi kubwa ulaya.

May be kwa vile waliokoa pesa wakati wa ban kwa kuwapa nafasi kinda wadogo waliokuwa kwenye mkopo!

Timu zingine zikiwemo Barca, Real Madrid, Man United, Juve, Bayern, PSG, Liverpool, Arsenal nk. zote zimezubaa
 
1591944352932.png

Chelsea wanamtaka LB wa PSG anayeondoka baada ya kumaliza mkataba wake. Chelsea wakimpata maana yake watamchukua bure
Kursawa ana miaka 27 na kwa hiyo bado yuko kwenye peak age ya kung'ara kwenye taaluma yake ya mpira
Kursawa ni type ya akina Emerson na mimi naona afadhali ya Marko Alonso na ni imani yangu Chelsea itatupilia mbali huu mpango kama upo
 
Hahaa.. Mkuu hao ni wachezaji potential sana sema naona wengi wanawachukulia poa. Ngoja tuone msimu ujao itakuaje
Tuna timu kali sana, viraka vichache tu ndio ilitakiwa tuzibe na huwezi kuamini tatizo halikuwa la Abraham wala mbele. Form ya Gilmour ilituonyesha wazi tatizo liko wapi. Everton waliokuwa wanatusumbua walikula 4-0, Liverpool wakala 2-0. Tukimpata creative midfielder wa kusaidiana na Bill Gilmour na Kovacic na tukampata LB (Ben Chilwell asaidiane na Alonso) hata tusipopata CB akina Rudiger, Christiansen na Tomori wanatosha kabisa, mwakani tupo uso kwa uso na hao wengine watakaokuwa nakiherehere cha ubingwa
 
Kuna mwandishi mmoja kule FORBES kafafanua vizuri tofauti ya timu kubwa na ndogo kifedha
Timu ndogo hawafanyi manunuzi makubwa wakati wa janga kama hili la CORONA bali wao watategemea kukopa, kuswap wachezaji au kufanya manunuzi baada ya kuuza wachezaji ili wapate pesa za kuingia sokoni.
Anaendelea kusema kwa Chelsea wao ni tofauti, wako kwenye kundi la timu kubwa kifedha, hata kabla msimu wa kuingia sokoni haujaanza, wameshafanya manunuzi makubwa ya Ziyech na Timo
Timo Werner Bid Puts Chelsea In A Different League From Their London Rivals
Aiseeeeh mbona unaforce kuwa mkubwa????

Hahahahah kama mfupi ni mfupi tu urefu hauletwi na viatu.....

Ata ukivaa kigodoro kama wewe ni kimbaumbau utabaki hivyo tu....
 
Mzee Willian anaondoka hakuna namna. Ameshakataa offer ya miaka miwili yeye anataka mitatu. Halafu pamoja na hivyo Willian tayari ni mzigo muda wake umeisha aende tu.
Hayo ya kusema jamaa ni mzigo ni maneno ya mkosaji?

Yaani uongozi wa klabu ukubali kutoa mkataba wa miaka miwili kwa mchezaji ambaye ni mzigo!!!!!hahahahaha sizitaki mbichi hizi
 
JAMAA WAKO SHARP, WAMESHA EDIT WIKIPEDIA PROFILE YA TIMO BANA
1591968152907.png
 
Mashabiki wa Chelsea wamekuja juu baada ya kusikia kuwa Chelsea wanataka kumsajili Kursawa badala ya Ben Chilwell
 
Aiseeeeh mbona unaforce kuwa mkubwa????

Hahahahah kama mfupi ni mfupi tu urefu hauletwi na viatu.....

Ata ukivaa kigodoro kama wewe ni kimbaumbau utabaki hivyo tu....
Wacha kulalamika, fuata hiyo link ukasome mwenyewe
 
Hayo ya kusema jamaa ni mzigo ni maneno ya mkosaji?

Yaani uongozi wa klabu ukubali kutoa mkataba wa miaka miwili kwa mchezaji ambaye ni mzigo!!!!!hahahahaha sizitaki mbichi hizi
Willian namfuatilia ana katabia fulani kila inapofika mwisho wa mkataba wake ndio anaanza kujituma hii mara ya pili anafanya hivyo. Sasa huo sio mzigo?
 
@CashmoneyForever me nataka Alex telles huyu ndio atatufaa zaidi ana sifa tofauti na alonso, jamaa Ni pure defensive left back na ana Kasi hii inatufanya tuwe na option nzuri kutokana na aina ya game inataka Nini Kama tunataka kushambulia zaidi Alonso aanze Kama tunataka balance kushambulia kiasi na kukaba Sana Alex telles ataanza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom