OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Timo atakuja lini darajani mazee
Weeee wauzwe? Yaani uibomoe timu hivi hivi makusudi?Tusimwangalie KANTE tuu, Kuna huyu Jognho mchezaji anayechanganya akili zetu.
Huwa naulizaga hapa role ya Jognho uwanjani ni ipi? Natolewa mifano ya mechi alizocheza ya Arsenal.
A:- Jognho sio kiungo mkabaji kwa sababu:-
1. Uwezo wake wa kukaba ni mdogo
2. Hawezi kupora mipira
3. Hana speed ya kumkimbiza adui
4. Anacheza rafu sana kwenye ukabaji wake.
B:- Tukisema Jognho ni kiungo mchezeshaji bado hawezi kuvaa viatu vya Fabrigas.
Uwepo wa Jognho unachanganya majukumu ya Kante, unachanganya safu ya ukabaji.
Kwanini hawa wachezaji JOGNHO na KANTE wote wasiuzwe?
Covacic ata ktk ukabaji yuko vzr.Ukweli ni kwamba tunahitaji kiungo mkabaji, Gilmour anaonyesha dalili ila Kovacic yeye ni mchezeshaji tu na ana uwezo wa kupeleka mipira mbele. Tunahitaji kuwa shield mabeki hata kama tutapata mabeki wazuri. Timu zote zinazofanya vizuri ni kwa sababu wana viungo wanaowalinda mabeki vizuri na wenye uwezo wa kupeleka mipira mizuri kwa wafungaji kule mbele. Tunahisi Kante yuko exhausted au hachezeshwi vizuri au anahitaji changamoto nyingine mbali na Chelsea
Bill can do wonders. Haitaji uzoefu wowote. Angalia game alizopewa nafasi na Lamps kucheza. Kufanya vitu mabaya. Awesome job.... Sasa unataka apate uzoe Wa nini?Gilmour Ni mchezaji mwenye talent lakini Hana experience so ana room ya kujifunza na kupata uzoefu zaidi so kivyovyote Chelsea lazima iingie sokoni kuchukua mbadala wa kante ambaye ana uzoefu zaidi ambaye na muona ni Thomas Partey anatufaa zaidi.Uwezi kuwa unataka ubingwa wa epl au uefa alafu unamtegemea Gilmour ambaye uzoefu Hana utakuwa muongo.
@lembu muache Kante azeekee darajani. Ata hivo si kweli kwamba Kante ameshindwa kwenda sawa na mfumo wa LampsChelsea wanataka kurudia smart move ya Liverpool walipomuuza Philippe Countinho mwaka 2017 kwa Bracelona. Liverpool walipata mshiko ambao uliwasaidia kuwanunua Virgil van Dijk and Alisson Becker ambao waliwafanya Liverpool kuwa Genuine Title Contenders 2018/19 na sasa mabingwa watarajiwa 2019/20.
Chelsea tumemuuza Eden Hazard tukapata pesa za kumnunua Hakim Ziyech na Timo Werner ambao wakija darajani wataifanya Chelsea kuwa Genuine Title Contenders na sio Championship contenders.
Wote Countinho na Hazard wameenda kuwa flop kwenye timu kubwa duniani wanaocheza ligi moja ya Laliga
Muda sio mrefu Real Madrid nao wataanza kuweka harakati za kumu-offload Eden Hazard ili wapate mshiko wa kuwanunua wachezaji mbadala
Hivi sasa Barca wanaitafuta timu ya kumuuzia Countinho kwa mil60 jumlisha na kumlipa nusu ya mshahara wake akiwa nje ya Nou Camp
Hii inaonyesha kuwa kumuuza mchezaji muhimu sio kila mara ina madhara bali saa nyingine ni faida. Ndio maana mimi nawashangaa watu wanakuja juu ikija swala la kumuuza Kante wakati kwenye mfumo wa Lampard ameshindwa kufit na akiuzwa anaweza kutupa mshiko wa kuwanunua alternative key players wanaofit kwenye mfumo na kutupa raha
Smart Move is part of football
Hilo dili halijayeyuka kweliTimo atakuja lini darajani mazee
Kwangu huyu ndio mchezaji Bora wa Chelsea Hadi sasa nitashangaa kama asipopataCovacic ata ktk ukabaji yuko vzr.
Angalia records ya Takles alizofanya, interceptions alizofanya. Jamaa yuko vzr
Alonso hauzwi ila Emerson ndio anauzwaHivi Alonso na Emerson wakiuzwa LB wa pili atakuwa nani?
Kama Ni hivyo Kai sio mchezaji mwenye uwezo mkubwa wa kukupa assist nyingi yule Ni midfielder scoring Kama wakina Loftus cheek,mount Kama tunataka kiungo mbunifu basi tumsajili coutinho.Chelsea ilimpoteza Fabrigas (Michezo 198, Magoli 22 & Assist 57), tunatakiwa tumsajili kiungo mchezeshaji aina ya fab pale katikati.
Japo uko na point ila akisajiliwa kwa bei poa Kai ni hazina kubwa. Pale kuna tallent kubwa ukichukulia umri wake. Ila ukweli ni kwamba Wachezaji wa Chelsea sio wa kiwango cha chini kama ya wale majirani zetuChelsea isimsajili Kai Loftus cheek,kovacic na mount wanatosha badala yake wanunue central back na left back biashara itakuwa imeisha.
Kai Ni scoring midfielder Kama Loftus cheek, mount so wasimsajili Kai,Kama Chelsea inataka kumsajili midfielder wamsajili midfielder wa aina tofauti na waliopo Chelsea yaani awe creative midfielder tofauti na hapo wafocus tu kwenye centre back na left backJapo uko na point ila akisajiliwa kwa bei poa Kai ni hazina kubwa. Pale kuna tallent kubwa ukichukulia umri wake. Ila ukweli ni kwamba Wachezaji wa Chelsea sio wa kiwango cha chini kama ya wale majirani zetu
Wee anza na Pulisic, RLC, Mount, Bill Gilmour nk, wote umri mdogo tallent za kutisha