Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Dully jr. waambie management wachangamkie vifaa hivyo bei poa tu
  1. Tiemoue Bakayoko, mil 35
  2. Emerson Palmieri, mil 25
  3. Davide Zappacosta, mil 30
  4. Danny Drinkwater, mil 20
  5. Michy Batshuayi mil 30
  6. Victor Moses mil 30
  7. Ross Barkley Mil 30
Jumla kuu Mil 200
Nyie mnatoa ngapi?
Hapo nilimsahau Morata kumbe bado ni wetu
 
Sijajua unaona nini kwa loft cheek... Mara kumi umtegemee mount kuliko loft cheek
Japo Kai anawapita Mount na RLC kwenye ufungaji na assists lakini bei yake ni kubwa na akija kuflop inakuwa ni hasara. RLC na Mount tayari wameshaizoea EPL kwa hiyo kama Leverksuen watashusha bei Kai asajiliwe ila waking'ang'ania paundi Mil90+ basi asisajiliwe. Chelsea wameshatoa dau la mil 75 wakakataa
 
1592233376016.png
 
Muda wowote mfupi ujao tutatangaziwa kuwa TIMO WERNER ni mchezaji wa Chelsea
 
Japo uko na point ila akisajiliwa kwa bei poa Kai ni hazina kubwa. Pale kuna tallent kubwa ukichukulia umri wake. Ila ukweli ni kwamba Wachezaji wa Chelsea sio wa kiwango cha chini kama ya wale majirani zetu
Wee anza na Pulisic, RLC, Mount, Bill Gilmour nk, wote umri mdogo tallent za kutisha
Midomo inawawasha sasa,subirini msimu uanze
 
Japo Kai anawapita Mount na RLC kwenye ufungaji na assists lakini bei yake ni kubwa na akija kuflop inakuwa ni hasara. RLC na Mount tayari wameshaizoea EPL kwa hiyo kama Leverksuen watashusha bei Kai asajiliwe ila waking'ang'ania paundi Mil90+ basi asisajiliwe. Chelsea wameshatoa dau la mil 75 wakakataa
Nunueni tu,maana nyinyi mshazoea kupigwa....

Shevchenko
Torres
Quaresma
Bakayoko
Moratta
Batman
Kepa aliyezubaaga
Baba rahman n.k wote walikuwa watumishi hewa
 
We ni mshabiki wa timu gani kubwa pale uingereza, nikutajie maboko timu yako iliyowahi kutoa kwenye usajili.
Nunueni tu,maana nyinyi mshazoea kupigwa....

Shevchenko
Torres
Quaresma
Bakayoko
Moratta
Batman
Kepa aliyezubaaga
Baba rahman n.k wote walikuwa watumishi hewa
 
Timo Werner to Chelsea
It would appear that the biggest hint confirming Timo Werner's £53m Chelsea transfer has been dropped.

German publication Bild is reporting that Werner has been removed from RB Leipzig's Champions League squad and will take no further part in this year’s competition for his current club.

The report goes on to add that the reason behind the move is because the striker will be a Chelsea player by the time the competition resumes in the summer. It seems a transfer is imminent.

 
Chelsea New Signing Table:
PlayerClubPossibility
Ben ChilwellLeicester City6/10
Kalidou KoulibalyNapoli4/10
Moussa DembeleLyon7/10
Timo WernerRB Leipzig5/10
Alex TellesFC Porto7/10
Ousmane DembeleBarcelona4/10
Jadon SanchoBorussia Dortmund5/10
James MaddisonLeicester City4/10
Issa DiopWest Ham United7/10
 
Chelsea New Signing Table:
PlayerClubPossibility
Ben ChilwellLeicester City6/10
Kalidou KoulibalyNapoli4/10
Moussa DembeleLyon7/10
Timo WernerRB Leipzig5/10
Alex TellesFC Porto7/10
Ousmane DembeleBarcelona4/10
Jadon SanchoBorussia Dortmund5/10
James MaddisonLeicester City4/10
Issa DiopWest Ham United7/10
Kwanini hapo kwenye Timo Werner wameweka 5/10?
 
Quaresma amewahi kuichezea Chelsea?
Na wewe ni shabiki wa Chelsea?????
Swali gani sasa hili?hebu kaa na wenzio wakupe japo A,B,C za club yako,kama unashangaa kwa Ricardo Quaresma ukiambiwa kuhusu Didier Deschamps na kina Maniche si utakataa wewe...!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom