Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

In summary, bringing Telles will be more of a gamble but at the same time, he could be a cheaper (and even better) alternative to Chilwell. But if Chelsea want a safer, long-term option, persuading Leicester to sell Chilwell is the way to go.

Hii point ya muhimu sana wadau.
Hakuna mchezaji wa ureno anayefeli ligi ya uingereza
 
Quaresma unamjua wewe?sidhani hata kama unajua kuwa alipitia hapa Stamford bridge na akaflop vibaya,
Bebe je? Huyu Sir Fergie alipigwe mchana kweupeeeeeeeeeee.....na juzi tu bwana mdogo Renato Sanchez alikuwa mzurulaji hapo Swansea City.....
Au ndio shabiki chipukizi wa soka?
Wapo kibao....
 
Baada ya Timo kukosa goli la wazi jana mashabiki wameanza kumaneno yao
1591997999295.png

1591998014048.png
 
Hakuna mchezaji wa ureno anayefeli ligi ya uingereza
Wapo waliofeli na pia wapo waliofaulu,

Japo overall waliofaulu ni wengi kuliko waliofeli.

Waliofaulu mf kwa chelsea: deco, carvalho na meireless

Waliofeli : quaresma na ferreira

Ila in general ni wachezaji wazuri tuu, mf kikosi cha wolves wengi ni wareno, man city yupo fundi silva, man u wanaye bruno..

So in general wengi ni wazuri..

Tatizo ni ubora wa ligi ya ureno ndo unatia mashaka,, maana mara nyingi wachezaji wanachukua mda ku"copy wanapohamia ligi nyingine
 
Wapo waliofeli na pia wapo waliofaulu,

Japo overall waliofaulu ni wengi kuliko waliofeli.

Waliofaulu mf kwa chelsea: deco, carvalho na meireless

Waliofeli : quaresma na ferreira

Ila in general ni wachezaji wazuri tuu, mf kikosi cha wolves wengi ni wareno, man city yupo fundi silva, man u wanaye bruno..

So in general wengi ni wazuri..

Tatizo ni ubora wa ligi ya ureno ndo unatia mashaka,, maana mara nyingi wachezaji wanachukua mda ku"copy wanapohamia ligi nyingine
Ku-cope sio ku-copy ndg
 
Chelsea wanataka kurudia smart move ya Liverpool walipomuuza Philippe Countinho mwaka 2017 kwa Bracelona. Liverpool walipata mshiko ambao uliwasaidia kuwanunua Virgil van Dijk and Alisson Becker ambao waliwafanya Liverpool kuwa Genuine Title Contenders 2018/19 na sasa mabingwa watarajiwa 2019/20.

Chelsea tumemuuza Eden Hazard tukapata pesa za kumnunua Hakim Ziyech na Timo Werner ambao wakija darajani wataifanya Chelsea kuwa Genuine Title Contenders na sio Championship contenders.

Wote Countinho na Hazard wameenda kuwa flop kwenye timu kubwa duniani wanaocheza ligi moja ya Laliga

Muda sio mrefu Real Madrid nao wataanza kuweka harakati za kumu-offload Eden Hazard ili wapate mshiko wa kuwanunua wachezaji mbadala

Hivi sasa Barca wanaitafuta timu ya kumuuzia Countinho kwa mil60 jumlisha na kumlipa nusu ya mshahara wake akiwa nje ya Nou Camp

Hii inaonyesha kuwa kumuuza mchezaji muhimu sio kila mara ina madhara bali saa nyingine ni faida. Ndio maana mimi nawashangaa watu wanakuja juu ikija swala la kumuuza Kante wakati kwenye mfumo wa Lampard ameshindwa kufit na akiuzwa anaweza kutupa mshiko wa kuwanunua alternative key players wanaofit kwenye mfumo na kutupa raha

Smart Move is part of football
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom