haya bhas tuseme the gunners washamchukua, unajisikiaje?!Usimtaje Zaha huyo jamaa niliomba usiku na mchana asisajiliwe

LONDON IS BLUE Nakuunga mkono kwa asimilia 💯. Kwanza Abraham alishaanza kuvimba mpaka kutaka mshahara mkubwa akazani atapata zali la mentari Kama aliyopata odoiNILITAKA NISHANGAE ZIYECH ATUE ACHEZE NA KICHWA PANZI TAMMY, INGEKUWA KUMKOSEA HESHIMA ZIYECH. SASA TAMMY AMEPATA NAFASI YAKE NZURI ILIYOKUWA INAMSUBIRIA YA KUSUGUA BECHI. GIROUD ATAENDA KUWA SECOND STRIKER. GIROUD IS FAR BETTER THAN TAMMY NDIO MAANA AMEONGEZEWA MKATABA WA MWAKA MMOJA.
Upo Kama Mimi aiseeUsimtaje Zaha huyo jamaa niliomba usiku na mchana asisajiliwe
Hiki ndio kikosi Cha kwanza kinachotakiwa kiwe.
Ila kwa pulisic ngumu kukosa namba kwa Kasi ya yake na namna atavoshirikiana na Hakim ziyeck combination itakuwa best kwa sababu wote wanauwezo wa kuexchange position.Pulisic, odoi, mount kusugua bench![]()
Chilwell na Sancho ni bora zaidiNASHUKURU SANA HATUTAMSAJILI
NASHUKU SANA KUMSAJILI
- Countinho
- Dombele
- Zaha
- Dries Mertens
NITASHUKURU SANA TUKIMSAJILI MMOJA YA HAWA HAPA
- Timo Werner
- Hakim Ziyech
- Ben Chilwell
- Jadon Sancho
- Kai Havertz
- Alex Telles
Wakuu naona wengi mnaanza kumsahau RLC. Huyu jamaa moto alouwasha kipindi cha Sarri naamini kabisa kwa Lampard lazima atoboe. Mount apambane sana
Hata Juan Mata kipindi cha Mourinho alisemwa ivyo. Amin nakwambia ndugu yangu kwa mchezo anaocheza Lampard ndio unamfaa RLC kwa sababu ya aggredive yake katika attacking. Labda haujamuangalia vizuri anatafuta mipira pia japo siyo jukumu lake kuu.Niamini... Huyu ni mchezaji mmoja wapo wa kuuzwa... Hapo hamna mchezaji...
Mzembe kwanza akipotezea mpira...
Sio mkabaji .. Akipoteza mpira anasimama
Mchoyo....
Hapa hakuna mchezaji ni bora aanze mount kuliko huyu
Mkuu hivi mnayemuongelea mnamjua vizuri au mmeishia kumuona kipindi cha Sarri, mlimfuatilia kipindi yupo Crystal Palace kwa mkopo? Halafu ukiongelea issue ya kukaba nadhani unamkosea sana kuna muda unamuona anatafuta mipira anaanza kudrible na kupandisha mashambulizi. Anamfaa sana Lampard kwemye attacking football atashindwa mpira wa Mou au ElChollo siyo kwa Lamps au Guardiola.Loftus Cheek sio wa kumtegemea sana:-
1. Sio mchezaji wa dakika 90 anakata moto mapema
2. Udhaifu mkubwa wa huyu bwana kwenye harakati za kudrible akipoteza mpira haukabi anasimama (Odoi type)
3. Kuna mechi anakuwa baridi utadhani hayupo uwanjani na kuna mechi anakuwa wa moto utadhani anaitafuta hattrick.
Ni mzuri sana kwenye sub kuingia kufanya finishing ya game.
Pulisic mtoe kwenye hiyo list.Willian, Pedro, Barkley, giroud, Odoi,pulisic ndo wameishia hapo?