Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Liverpool to make Werner bid
Liverpool are "expected" to return with another offer for Timo Werner to challenge Chelsea.

That is according to transfer expert Ian McGarry.

It is expected in some quarters that Liverpool may well make another bid having failed with an initial one around 16 days ago of €30m plus €15m in add-ons, which clearly is well below the rescission clause in Werner's contract, but certainly is potentially open to being upped and therefore giving Chelsea some competition.
 
" Timo Werner, bado ni mchezaji wetu halali atujapokea ofa yoyote kutoka katika klabu ya Chelsea, nimeona kwenye vyombo vya habari zina ripoti kuwa Chelsea wametoa kiasi cha paundi milioni 54 kumsajili sio za kweli ni za uzushi
.
.
" Sijapokea ofa yoyote kwa sasa tunaangalia lengo la kufuzu Michuano ya klabu Bingwa Barani Ulaya kwa msimu ujao ndio malengo yetu makubwa hayo ni bado mchezaji wetu nina imani atasaini mkataba mpya sio mda mrefu wa kuendelea kubaki na sisi
.
.
" Tuna mpango wa kumuongeza mkataba kwa sababu ni mchezaji mwenye umri mdogo hatuwezi kumuacha kuondoka hivi hivi kama atataka kuondoka lazima atuambie sisi viongozi wake," Mkurugenzi wa michezo wa klabu ya Rb Leipzig, Olivier Mintzlaff.
.
.
NB: Hii mpya sasa nani mkweli hapo eti mashabiki wa Chelsea
Hizo habari za Chelsea kupeleka offer wewe umezitoa wapi? Kwa sababu hata sisi tunajua Chelsea bado haijapeleka offer ila imekubaliana maslahi binafsi na mchezaji na mchezaji keshakubali kujiunga na Super Frank. Sasa timu imbaki kumalizana na klabu yake.

Unakumbuka kipindi kile Ajib kamaliza mkataba wake na Yanga ghafla tukasikia TP Mazembe wanamtaka watu tukafurahi mara tukadikia Ajib kaipiga Mazembe chini kasign Mnyero FC. Kwasababu alikua keshakula Pre contract na Minyero kwa hiyo hata kwa Werner usishangae tunafurahi sana lolote linawezekana ila siyo kumpiga chini Super Frank.
 
Hivyo vishambuliaji vyenu nyoronyoro vitafeli tu hapo. Bora lingekuwa jitu kama Haaland!
 
Kuna mwandishi mmoja kule FORBES kafafanua vizuri tofauti ya timu kubwa na ndogo kifedha
Timu ndogo hawafanyi manunuzi makubwa wakati wa janga kama hili la CORONA bali wao watategemea kukopa, kuswap wachezaji au kufanya manunuzi baada ya kuuza wachezaji ili wapate pesa za kuingia sokoni.
Anaendelea kusema kwa Chelsea wao ni tofauti, wako kwenye kundi la timu kubwa kifedha, hata kabla msimu wa kuingia sokoni haujaanza, wameshafanya manunuzi makubwa ya Ziyech na Timo
Timo Werner Bid Puts Chelsea In A Different League From Their London Rivals
 
Chelsea legends Petr Cech’s and Frank Lampard Critical Influence on Timo Werner transfer to Chelsea Over Liverpool

1591583279605.png

The club legends returned to the club last summer as manager and sporting director
Petr Cech and Chelsea boss Frank Lampard made a secret trip to Germany before lockdown to persuade Werner to move to London.

Reports claim that the duo laid out their plans for the club to the forward in order to secure his signature.

The visit of Lampard and Cech was said to have impressed Werner, his family and his representatives ahead of him making a decision on his future.

And the Chelsea pair were equally encouraged by Werner’s drive and the trio have remained in contact ever since.

The reports went far by disclosing that, the former team-mates, now in charge at Stamford Bridge, laid out their plans for the manager's vision of how Werner would fit into the team, which massively impressed the striker.

The report indicates Werner's clear understanding of Chelsea's plan for him swung the deal in their favour.
1591583678165.png

The club legends returned to the club last summer as manager and sporting director
 
CHELSEA itafungulia mlango kikosi kizima wakati dirisha la uhamisho wa majira ya kiangazi litakapofunguliwa huku wao wakiwa bize katika mchakamchaka wa kuleta mastaa wapya akiwamo straika Timo Werner.
Straika wa RB Leipzig na Ujerumani, Werner ameripotiwa kuwa atasaini mkataba wa miaka mitano utakaomfanya kupokea mshahara wa Pauni 200,000 kwa wiki wakati atakapotua katika kikosi hicho cha Frank Lampard, kama wataweka mzigo wa Pauni 54 milioni kuvunja mkataba wake.
Chelsea, ambao wameshamsajili winga wa Ajax, Hakim Ziyech kwa Pauni 38 milioni wanampigia hesabu pia Ben Chilwell wa Leicester City.
Lakini, ripoti za kutoka Stamford Bridge zinadai kwamba kocha Lampard atapiga bei kikosi kizima wakati dirisha litakapofunguliwa.
Lampard ataanza kumpiga bei kipa Kepa Arrizabalaga na mabeki Marcos Alonso, Kurt Zouma na Davide Zappacosta, wakati kwenye safu ya viungo ni Jorginho, Tiemoue Bakayoko na Ross Barkley, huku upande wa kushoto wa kikosi hicho cha kutemwa yuko Pedro na kulia ni Willian. Kwenye fowadi kutakuwa na Alvaro Morata na Michy Batshuayi.
Winga wa Kibrazili, Willian ataruhusiwa kuondoka mwisho wa msimu mkataba wake utakapokwisha, wakati kiungo Jorginho anasakwa na kocha wake wa zamani, Maurizio Sarri huko Juventus. Alonso yupo kwenye rada za Antonio Conte katika chama la Inter Milan, huku Morata akijiandaa kutua jumla Atletico Madrid kwa mkwanja wa Pauni 48 milioni.
Zouma anafukuziwa na Tottenham ya Jose Mourinho, wakati Ross Barkley yupo kwenye rada za West Ham United sambamba na straika Michy Batshuayi.
Wakati huo huo, bosi wa RB Leipzig, Oliver Mintzlaff amesema kwamba dili la Werner kwenda Chelsea bado halijamilika, akisema: “Bado hatujamalizana na Chelsea. Hivyo, kwa sasa Timo Werner bado hakuna kilicholipwa kuvunja mkataba wake, wala klabu kutuma maombi ya kutaka kumsajili.”

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi cha dirisha dogo January timu nyingi zilimtaka lakini kipindi kile walikua wanaongoza ligi kwao akaona bora abaki na kocha alishawaambia ana mpango wa kujenga timu kumbe bhana mambo hayaendi kama unavyopanga. Walipoondolewa pale juu amekaa akajifikiria akaona bora atafute tu timu ya maana kuliko kubaki pale penye utawala wa Bayern pakee.

Werner ahsante kwa kuchagua kuja Chelsea. Nawaza msimu ujao sijui utawapiga mangapi manyumbu. Naomba uanzie Hattrick yako kwa mashetwan.

Nina furaha sana. Yaan Werner anaanza huku benchi una Tammy na Giroud. Mweeeeh!!
Halafu kuna dogo wa kuitwa KAI HAVERT anataka kwenda Bayern badala aje EPL kwenye ligi la wanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
" Timo Werner, bado ni mchezaji wetu halali atujapokea ofa yoyote kutoka katika klabu ya Chelsea, nimeona kwenye vyombo vya habari zina ripoti kuwa Chelsea wametoa kiasi cha paundi milioni 54 kumsajili sio za kweli ni za uzushi
.
.
" Sijapokea ofa yoyote kwa sasa tunaangalia lengo la kufuzu Michuano ya klabu Bingwa Barani Ulaya kwa msimu ujao ndio malengo yetu makubwa hayo ni bado mchezaji wetu nina imani atasaini mkataba mpya sio mda mrefu wa kuendelea kubaki na sisi
.
.
" Tuna mpango wa kumuongeza mkataba kwa sababu ni mchezaji mwenye umri mdogo hatuwezi kumuacha kuondoka hivi hivi kama atataka kuondoka lazima atuambie sisi viongozi wake," Mkurugenzi wa michezo wa klabu ya Rb Leipzig, Olivier Mintzlaff.
.
.
NB: Hii mpya sasa nani mkweli hapo eti mashabiki wa Chelsea
Ngoja niquote hii post kabla hajasajiriwa
 
Hivi Werner asipotua chelsea ntaambia nini watu.

Yani nilivyojigamba mbele ya mashabiki wa Liverpool nikijua dili tayari limekamilika sijui nitaificha wapi sura yangu
 
Mi nadhani Lampard asiuze wachezaji wengi tunatakiwa tuwe na kikosi kipana, sio mchezaji anapata injury tunahaha kujaza nafasi yake.

Man city KDB na Sane waliopata injury kwa wakati tofauti lakini timu ikaendelea kuperform kwa kiwango cha juu.

Nalipenda willan abaki na Ziyech atue wapambanie namba.

WACHEZAJI WA KUONDOKA:-

1. Emerson
2. Zappacosta
3. Drinking water
4. Bakayoko
5. Batshuayi
6. Pedro

WACHEZAJI WA
KUBAKI

1. Keppa (2nd chance asajiliwe mabeki)

2. Rudger
3. Zouma (sub)
4. Christensen
5. James
6. Tomori (sub)
7. Alonso ( Sub & 1st 11)
8. Azipucueta

7. Joginho
8. Kante
9. Kovacic
10. Glamour (Sub umri mdogo)

11. Ross Barkely (Sub)
12. Pulisic
13. Odoi
14. Cheek
15. Willian
16. Mount

17. Giroud
18. Abraham
Mzee Willian anaondoka hakuna namna. Ameshakataa offer ya miaka miwili yeye anataka mitatu. Halafu pamoja na hivyo Willian tayari ni mzigo muda wake umeisha aende tu.
 
Mzee Willian anaondoka hakuna namna. Ameshakataa offer ya miaka miwili yeye anataka mitatu. Halafu pamoja na hivyo Willian tayari ni mzigo muda wake umeisha aende tu.
Sioni kama Willian anaondoka, Atakubali mkataba aliopewa na kusaini kuwepo darajani kwa miaka mingine miwili
 
Apewe mkataba wa miaka 3 kwa pungufu ya mshahara. Awe sub, willian bado hajawa mzigo, vilabu vikubwa visingetaka signature yake
Jaribuni kumchunguza Lampard vizuri. Hataki mchezajo awe superior kuliko wengine mfano dogo Tammy ana demand mshahara mkubwa kamletea mtu wa kumchallenge. Willian anagoma kusign mkataba mpya Ziyech amekuja. Hivi mnadhani kwa hali hiyo hawa wachezaji wanaweza kuendelea ku demand mambo makubwa klabuni? Ni aidha wakubali matakwa ya klabu au waondoke.
Sioni kama Willian anaondoka, Atakubali mkataba aliopewa na kusaini kuwepo darajani kwa miaka mingine miwili
 
Chelsea plot ANOTHER Bundesliga raid as they prepare bid for £75m-rated Bayer Leverkusen star Kai Havertz - and look to team him up with Germany team-mate Timo Werner
Kai play as an attacking midfielder or wide Right Winger
Kai Havertz has scored five times in four games since the resumption of the Bundesliga and is on the radar of Real Madrid and Bayern Munich.


1591656750441.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom