Na pia hua wanaangalia mapato na matumizi,, yaani umetumia kiasi gani cha fedha na umeingiza kiasi gani,. Ambapo kwenye kipengele hiki timu kubwa zinakua favoured, kwasababu ya structure zao za kuingiza mtonyo hua vizuri, ukianzia mapato ya tv, jezi na udhamini mwingine,
Ila kwa timu ndogo hua shida sana, hasa zinaponunuliwa na matajiri wakubwa, saivi zinashindwa kukua kwa kasi
Na hili mourinho aliliona mapema, amewai kusema FFP(Fifa financial fiar play), ilikua ni kwa ajili ya kuzibeba timu kubwa na kuzigandamiza ndogo.
Means, usitarajie timu ndogo hata ikinunuliwa na matajiri wa kiarabu, ikawanunua hazard, neymar, mbape, de bruyne kwa wakati mmoja ni impossible kwa sasa.
Sio kama enzi zile za growth of man city