Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

The BLUES tumepoa sana, tumezubaa sana kwenye ushangiliaji wa timu yetu.

Au tunaendelea kuchangilia matukio after match kama kawaida yetu.

Mwenye taarifa za wachezaji wetu atupatie:-

1. Waliopona injuries
2. Kikosi kimejipangaje kumalizia mechi zilizobaki.
3. Tetesi za usajili n.k
Kuhusu injuries nadhani wote wamepona kinachohitajika ni match fitness ukizingia hii likizo ya miezi miwili kikawaida itachukua muda kwa wachezaji kurudi physically na mentaly ambapo kwa huu muda mpaka ligi kuanza nadhani Lampard benchi lake watalifanyia kazi.

Kuhusu usajili bado kuna tetesi kibao zinae ndelea hasa kwenye nafasi ya Left back akihusishwa zaifi Tagliafico. Pia kwa nafasi ya striker akihusishwa Timo Werner. Mzee baba bado tunaendelea kufatilia timu yetu tuombe wachezaji warufi vizuri tumalize ndani ya top four.
 
Hata namkubali sana kimpira yuko vizuri lakini tabia nyingine za kwake zinaathiri wachezaji wengine hasa hiki kipindi ambacho Lampard bado anajenga timu haitakua vyema atokee mchezaji aanze ku feel superior kuliko wengine. Hatutafanikiwa kabisa
Jamaa kaiangamiza Man U kweli kweli,Juve tu ndio inamfaa kwa sababu kule kuna wazee wasiodanganyika
 
Chelsea target
1591023839177.png
 
Friendly Matches Allowed by PL
The Premier League has given it’s clubs approval to stage friendlies ahead of the planned June 20 restart but a number of strict guidelines remain in place.

Clubs in the top-flight have requested permission to face other teams in preparation for the resumption of the 2019/20 season, which has now been accepted - although strict guidelines have been issued.


No team can travel more than 90 minutes for a match and players must travel in their own cars, while members of coaching staff will officiate the matches as referees will not be allowed.

Matches can either be played inside stadiums or at training grounds, which would be risk assessed before matches, and those involved would have had to have a negative result from coronavirus testing.
 
TIMO ASEMA NI NGUMU KWENDA KWENYE TIMU KAMA MANCITY NA LIVERPOOL, HAKUITAJA CHELSEA KWA LOLOTE

"At this time in professional soccer there are two different variations," he said.

“The first is to be part of a team like Liverpool or Manchester City. They have a good working team. The teams have also great coaches.

“But this is the question: do you want to go to that kind of team, because the situation is already that hard for each member and you want to be a part of it? That’s one point you have to look at.

“The other side are teams which need some big changes, because they just won a few big titles, but they are not able to compete on the highest level anymore. For me, Manchester United is one of these teams.

Kwa maelezo hayo hakuitaja Chelsea na pia inaonekana hana mpango wa kwenda Liverpool wala Man city kwa sababu ya ushindani mkubwa wa jezi na namba
1591243513378.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom