lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,381
- 25,482
Naunga mkono hojaWerner + Abraham = Disappointed
Abraham mzee wa kujiangusha, kupoteza mpira na poor ball finisher.
Werner acheze na Giroud, Giroud mzuri kwenye kusoma mashambulizi, kujiposition na kutoa assists/kufunga.
Giroud ni playMaker kule mbele tofauti na Abraham japo Abrahama kuna formation bado zinamfaa sana
Mfano
Giroud sio mzuri kwenye loose balls na kujiposition
Abraham sio mzuri kwenye playmaking kama Giroud
Kwa sababu ya umri Tammy ni mwepesi tofauti na Giroud move za kasi hataziweza japo Giroud ni mzuri kwa mashambulizi ya short passes hata kama ni za kasi
Muhimu ni kocha ajue namna ya kutumia hizo rasilimali

wafe kabisa uwanjani, Chelsea ni club ya makombe, sasa ifike mwisho wa kuburuzwa na Liverpool na City.